Naomba ufafanuzi kuhusu matokeo yangu

Naomba ufafanuzi kuhusu matokeo yangu

bie2

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
24
Reaction score
9
Mimi nikijana niliyehitimu kidato cha sita ila kwenye matokeo nimeandikiwa E* je naweza fuatilia baraza au shuleni msaada wa mawazo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukulipa Ile 50,000/= ya mtihani wa taifa...
Lipia
ile na matokeo yako yataachiwa... and I think ukichelewesha kulipa kiasi kinaongezeka
 
kalipe bank then kascann pay in slip na barua ya mkuu wa shule(iwe na mhuri) utume kwenye email yao
 
Kalipe pesa watakupa matokeo. Ilishawahi nitokea nikaenda necta fasta. Lakini pitia shuleni kwako atleast wakupe pakuanzia kabla haujafika baraza.
 
Back
Top Bottom