Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

kati ya gari nayojutia kuuza ni vitz clavia ,kigari kina roho ya paka ,hakina urafiki na garage mafuta kinanusa nilipiga nacho route za upanga to ununio for five years..... kwa sisi tusiokuwa na pesa za kutosha hii ndio kimbilio letu.

kama mtu anahitaji namshauri anunue tu hatajuta
 
kati ya gari nayojutia kuuza ni vitz clavia ,kigari kina roho ya paka ,hakina urafiki na garage mafuta kinanusa
nilipiga nacho route za upanga to ununio for five years..... kwa sisi tusiokuwa na pesa za kutosha hii ndio kimbilio letu
kama mtu anahitaji namshauri anunue tu hatajuta
ME MWENYEWE NINALO JUZI KIDOGO NILIUZE NINUNUE NISSANI XTRAIL... JAMAA ALINIPA NISSAN XTRAIL NITEMBELEE KWA WIKI 2 MWANANGU ILINISHINDA IKABIDI NIMWAMBIE ANIRUDISHIE VITZ YANGU...

MASHINE HAINA URAFIKI NA GEREJI WALA HAISUMBUI HUA NAENDA NAYO KUTOKA ARUSHA MWANZA MWANZA TO ARUSHA NA MASHINE INATEMBEA TU BILA SHIDA
 
Kuna mafundi garage wajuaji ... kila kitu huwa wanakikosoa..
Kweli kabisa mkuu. Na unakuta hawajawahi kumiliki hata bajaji zaidi ya kuishia kutengeneza tuu zinapoharibika. Kwakuwa analetewa vitz clavia 3 kwa siku na corola 1, basi anachukulia kuwa vitz zina matatizo sana. Ukiwasikiliza mafundi hautanunua gari kwani kila mmoja anaponda gari iliyomshinda kutengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ME MWENYEWE NINALO JUZI KIDOGO NILIUZE NINUNUE NISSANI XTRAIL... JAMAA ALINIPA NISSAN XTRAIL NITEMBELEE KWA WIKI 2 MWANANGU ILINISHINDA IKABIDI NIMWAMBIE ANIRUDISHIE VITZ YANGU... MASHINE HAINA URAFIKI NA GEREJI WALA HAISUMBUI HUA NAENDA NAYO KUTOKA ARUSHA MWANZA MWANZA TO ARUSHA NA MASHINE INATEMBEA TU BILA SHIDA

Vitz kutoka Mwanza mpaka Arusha?

inawezekana hii mazee?
 
kati ya gari nayojutia kuuza ni vitz clavia ,kigari kina roho ya paka ,hakina urafiki na garage mafuta kinanusa
nilipiga nacho route za upanga to ununio for five years..... kwa sisi tusiokuwa na pesa za kutosha hii ndio kimbilio letu
kama mtu anahitaji namshauri anunue tu hatajuta

Hivi nikiwa nina 5mil. Cash naweza pata hapa bongo?
 
Me i own it kama ina onekana hapo juu. Have been with it for 3+yrs.. Gari poa na zote engne capacity yake cc 1290. Ukiwa si mbahili kwenye service na haupo rough barabarani hasa barabara za makorongo una uhakika wa kukaa zaid ya miaka minne unafanya service ya kumwaga engne oil na gear box may be na brake... Hautagusa kwingne..mim hapa siwah hata sikia inagonga huko chini... Na ina mwonekano mzuri tofauti na vitz nyingne zote... Fuel consumption ipo poa... Sijajua kwa ambazo si za umeme maana yangu ni umeme kila kitu mpaka pad ya accelerator .. Ina torque nzuri ipo na space pia...

Nikiwa na 5mil. cash naweza pata gari kama hii kaka? Nina shida sana na usafiri. Nateseka.
Hivi kati ya vitz, passo, starlet unanishauri nitafute gari gani
 
Nashauri ununue vitz iko kisasa kati ya hizo lakini pia inadumu.Tatizo kubwa la hiyo gari ni Sterling rack.
Nikiwa na 5mil. cash naweza pata gari kama hii kaka? Nina shida sana na usafiri. Nateseka.
Hivi kati ya vitz, passo, starlet unanishauri nitafute gari gani
 
Ipo poa mkuu, mi Kuna jamaa yangu anayo mwaka wa tatu anapiga route Dar - Dom kila mwisho mwa juma na safari za Dar - Songea - Mbinga mara kwa mara na haina shida
 
Back
Top Bottom