Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

ABBY HAMZA

Member
Aug 28, 2016
66
34
Habarini wana jamvi, naomba anayejua kuhusu hili gani anieleze ubora na matatizo yake kama yapo

1599479892746.png

Toyota Vitz Clavia
 
Me i own it kama ina onekana hapo juu. Have been with it for 3+yrs.. Gari poa na zote engne capacity yake cc 1290. Ukiwa si mbahili kwenye service na haupo rough barabarani hasa barabara za makorongo una uhakika wa kukaa zaid ya miaka minne unafanya service ya kumwaga engne oil na gear box may be na brake.

Hautagusa kwingne..mim hapa siwah hata sikia inagonga huko chini. Na ina mwonekano mzuri tofauti na vitz nyingne zote... Fuel consumption ipo poa... Sijajua kwa ambazo si za umeme maana yangu ni umeme kila kitu mpaka pad ya accelerator. Ina torque nzuri ipo na space pia.
 
Me i own it kama ina onekana hapo juu. Have been with it for 3+yrs.. Gari poa na zote engne capacity yake cc 1290. Ukiwa si mbahili kwenye service na haupo rough barabarani hasa barabara za makorongo una uhakika wa kukaa zaid ya miaka minne unafanya service ya kumwaga engne oil na gear box may be na brake... Hautagusa kwingne..mim hapa siwah hata sikia inagonga huko chini... Na ina mwonekano mzuri tofauti na vitz nyingne zote... Fuel consumption ipo poa... Sijajua kwa ambazo si za umeme maana yangu ni umeme kila kitu mpaka pad ya accelerator .. Ina torque nzuri ipo na space pia...
Inatumia engine gani 2Nz, 1SZ au 2SZ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom