Naomba ufafanuzi kuhusu Cable TV

Naomba ufafanuzi kuhusu Cable TV

Lau_boy7

Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
21
Reaction score
4
Guys samahani Kwa usumbufu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na cable tv, zina madhara gani, faida zake, zina channels ngapi, umuhimu wake na gharama.

Ahsanteni
 
Mkuu hizo cable ni mtu anatengeneza sehemu anakuwa na dishi na receiver za kutosha kama dstv, azam, startimes, receiver za FTA, al jazeera etc. Then kutoka kwenye hizo receiver nyingi anaweka chanells mbalimbali na kurusha matangazo ya hizo chanells kupitia waya. Hizo waya zinasambazwa kwenye nyumba mbalimbali.

-kuipata inategemea mahala ulipo kama kuna mtu anatoa hio huduma.
-faida yake ni kwamba unaona chanells nyingi kwa gharama nafuu
-hasara ni.kwamba inaweza isiwe clear ama wanaweza weka chanell usizozipenda maana wanabadilishia huko ofisini.
-gharama zinaweza kuwa kama 10,000 hadi 40,000 hv tegemea na eneo.
-na hakuna data maalum za idadi ya chanell
 
Pia kwa baadhi ya maeneo zina shida sana ya miundombinu.Kuna sehemu ninaona wanatumia vinguzo dhaifu kusafirisha nyaya zao,muda mfupi vinaliwa na mchwa vinaanguka.Hapo mpaka waje ushakosa mechi kadhaa za mpira.
 
Kwa miji iliyochangamka hii huduma haiwezi fanikiwa kirahisi,licha ya kwamba utapata changamoto kutoka kwa wahusika dstv na azam nk,lakini pia wajanja wengi huku utapigwa hujuma makusudi,mfano nguzo zitakuwa zinaangushwa hata na magari ya taka.
 
Kabisa
 
Huku kwetu Tanga cable TV zimeendelea wana minara yao na receiver za majumbani. Kama startimes vile, utafikiri ni halali.
 
Back
Top Bottom