Naomba ufafanuzi katika hili la Mama yangu

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
300
276
Mama yangu amefanyiwa upareshen ya kuondolewa kizazi juzi Muhimbili. sasa naona amewekewa mpira wa mkojo?!

Madokta hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom