Ni kweli mkuu watu wanapotosha kwa makusudi au kwa kutokujua....Mkuu Eiyer yawezekana wengi hatuelewi kwa haya mambo ya microchip na namba 666 ndio maana tumekuwa waamini wa kile tunachopotoshwa.
Sasa nimekuelewa!
ni kweli kbs ila mada ni ndefu sn kuelezea ila vinahusiano wa moja kwa mojaWote nimewaelewa ..ila nimeomba ufafanuzi kujua juu ya kifaa hicho kama kinarelate na ile chapa iliyoandikwa kwenye biblia na msaafu ,ya anti christ yaani 666 nimeona barcode 666 na kinawekwa mkononi au katika paji la uso....IS IT TRUE NI MAMBO YA NEW WORLD ORDER ???
google ficarius filii dei una ufahamu ila bado unahitaji kujua zaidi?soma daniel na ufunuo vzr sifa za mnyama zipo wazi na mnyama yupo toka zmn sn na ana sifa tajwa kwenye bibliaWell...
Nilikuwa nimebanwa kiaina wakuu...
Iko namna hii,kwa namna nijuavyo na kwa mujibu wa utafiti ambao nimeufanya na ninaoendelea kuufanya kuhusu chapa ya mnyama na hii microchip ni kwamba mambo haya yanaweza kuhusiana lakini hayafanani au kwa lugha nyingine microchip siyo ile chapa iliyoandikwa kwenye ufunuo 13 ambayo ni 666 kwasababu zifuatazo...
1;Huwezi kuwa na chapa hii bila ya kuwa na mhusika ambaye ni mnyama [ufalme/mfalme] hivyo dhana kuwa microchip iliyopo ambayo watu wanawekewa kuwa ni hiyo chapa siyo sahihi maana maandiko yanazungumza vizuri tu namna itakavyokuwa....
2;Chapa iliyoandiokwa kwenye Ufunuo 13 siyo kifaa bali ni hesabu ya jina,tunachopaswa kujua ni kwamba hapo inazungumzwa habari ya jina na hesabu ya jina lake siyo kifaa chochote.Watu,kwa maana ya maandiko matakatifu ya Ufunuo 13:16-18 watapigwa chapa kwenye mapaji ya uso na kwenye mikono yao ya kuume na kuwatambulisha kuwa wao wamekubaliana na kile ambacho mnyama wa pili [Ufunuo 13:11-15] anakifanya kwa niaba ya mnyama wa kwanza [Ufunuo 13:1] kwa maana hiyo hapa tutakuwa na wanyama wawili lakini jina ambalo chapa yake ni 666 ni la mnyama wa kwanza,huyu wa pili atakuja kufanikisha upigwaji wa chapa hii.....
Kwa maana hii hutaweza kuona chapa hii yenye hesabu ya jina la mnyama kabla hujamjua mnyama mwenyewe.Mnyama anayezungumzwa hapo kwenye Ufuno 13:1-3 sijamuona na kwa maoni yangu bado hajakuwepo duniani,sasa utakuwaje na chapa kabla ya mhusika kuwepo?
Maandiko yanasema kuwa mnyama huyo atakuja kwanza kisha atakuja mwingine ambaye atafanikisha hilo zoezi,sasa yote haya yametokea wapi?
Inawezekana hii microchip ni aina ya maandalizi ya chapa hiyo kwa namna moja au nyingine lakini bado hatuwezi kusema hiyo ndiyo chapa yenyewe.Pia,inawezekana kifaa hiki kikaja kusaidia upigwaji wa chapa hii lakini kwa sasa hatuwezi kusema chenyewe ndiyo 666....
ONYO: Usikurupuke kukubali kitu usichojua malengo yake hasa kwa dunia hii ya sasa,tumia muda wako kufanya utafiti kabla hujakubali maana unaweza kujikuta kwenye wakati mbaya sana hapo baadaye....
Ahsanteni....
Dah!!google ficarius filii dei una ufahamu ila bado unahitaji kujua zaidi?soma daniel na ufunuo vzr sifa za mnyama zipo wazi na mnyama yupo toka zmn sn na ana sifa tajwa kwenye biblia
Sasa hiyo chip inakuwaje chapa ya mnyama?Na kwa wasiojua vitambulisho vya taifa hivi vya NIDA kitabeba. Nafasi za vitambulisho vyoote mfano ATM card, Leseni ya Udereva, Kadi ya Bima, Kitambulisho cha kazi/ shule, passport na kadha wa kadha.
Hapo hiyo microchip itakuja kurahisisha tu maisha, maana vitambulisho hupotea hivyo wao watasema ni maendeleo ya teknolojia kwamba tuweke hiyo chip kwenye mikono so ukienda bank au popote pale kutakuwa na ile mashine ya kukutambua kwa taarifa zako zilizo ktk chip. Itatambuliwa kwa kumulokwa na kile kifaa cha kusomea barcode kama vya supermarket au ferry ukiwa waboard boti.
Ila sababu mbalimbali aidha ajali na watu wengine hawatokuwa na mikoni hivyo ndipo hako kachip katawekwa kwenye paji la uso. Maana waweza kosa mkono na ukaishi ila si kichwa.
Hapo ndipo Ufunuo wa Yohana unapoenda kutimia.
Chip chapa ila inakwenda facilitate chapa ya mnyama.
Hapo ndio watakao kataa kuikubali chapa ya mnyama basi chip zao huzimwa au hufutwa. ndipo watakapo enda bank au hospitali au madukani hawatoweza pata huduma sababu chip zao zitakufa offline hivyo hawatotambulika.
Kutotambulika huko ndio kusihindwa nunia au uza.
Umefundishwa kupinga ni sawa kwako ningekusaidia ila ni uvivu kumsaidia mtu mwenye akili mgandoDah!!
Wewe jamaa una mawazo ya kizamani san ambayo tayari yameshashindwa vibaya sana kutokana na mawazo hayo kuwa kinyume na unabii...
Kwa anayejua akisoma hayo maelezo yangu atajua kuwa sijaandika kitu kwa kubahatisha au mtu asiyejua maandiko,lakini wewe umeshindwa kujua hilo na umekuja speed na kuniambia nisome Danieli na Ufunuo utadhani unaniambia kitu kiipya wakati hicho unachotaka nisome nakijua sana tu....
Labda tu nikuambie kuwa nafahamu sana kuhusu unabii wa Danieli 7,2,8,10,11 na 12 kuliko unavyodhani wewe,nafahamu kuhusu Ufunuo kuliko unavyodhani wewe,nafahamu kuwa unabii wa ziku za mwisho haujaandikwa kwenye vitabu hivyo pekee bali umeandikwa pia kwenye Ezekieli,Mika,Isaya,Yeremia n.k,sasa wewe umekariri Ufunuo na Danieli tu....
Kote huko huo unabii unaousema wewe umeshindwa vibaya sana...
Unaniambia ni google Vicarius Filii Dei,yaani nimecheka,eti ni google,hiki unachoniambia nakijua vizurisana tena sana tu,labda nikuulize,Vicarius Filii Dei [Vicar of son of God] ni jina la nani? Nikutahadharishe tu kuwa kuwa makini unapojibu hili swali maana majibu yake yatakukwama kooni....
Kwa kifupi sijaona kipya bali unaniletea hadithi za kizamani ambazo zimeshagaragazwa na unabii siku nyingi tu.....
Wala hata sishangai wewe kujibu namna hii maana nilijua tu huna majibu....Umefundishwa kupinga ni sawa kwako ningekusaidia ila ni uvivu kumsaidia mtu mwenye akili mgando
Nikipata wasaa ntaeleza vyema. Ila fahamu vyote tuvifanyavyo sasa ni juhudi za kufanikisha utimilifu wa ufunuo.Sasa hiyo chip inakuwaje chapa ya mnyama?
Na ni mnyama yupi huyo?
Hilo nalijua sana tu isipokuwa hayo maswali niliyokuuliza.....Nikipata wasaa ntaeleza vyema. Ila fahamu vyote tuvifanyavyo sasa ni juhudi za kufanikisha utimilifu wa ufunuo.
exactly.Wote nimewaelewa ..ila nimeomba ufafanuzi kujua juu ya kifaa hicho kama kinarelate na ile chapa iliyoandikwa kwenye biblia na msaafu ,ya anti christ yaani 666 nimeona barcode 666 na kinawekwa mkononi au katika paji la uso....IS IT TRUE NI MAMBO YA NEW WORLD ORDER ???
UFUNUO WA YOHANA 13:1…… .. Soma hapo utaelewa nini maana ya microchipWote nimewaelewa ..ila nimeomba ufafanuzi kujua juu ya kifaa hicho kama kinarelate na ile chapa iliyoandikwa kwenye biblia na msaafu ,ya anti christ yaani 666 nimeona barcode 666 na kinawekwa mkononi au katika paji la uso....IS IT TRUE NI MAMBO YA NEW WORLD ORDER ???
Well...
Nilikuwa nimebanwa kiaina wakuu...
Iko namna hii,kwa namna nijuavyo na kwa mujibu wa utafiti ambao nimeufanya na ninaoendelea kuufanya kuhusu chapa ya mnyama na hii microchip ni kwamba mambo haya yanaweza kuhusiana lakini hayafanani au kwa lugha nyingine microchip siyo ile chapa iliyoandikwa kwenye ufunuo 13 ambayo ni 666 kwasababu zifuatazo...
1;Huwezi kuwa na chapa hii bila ya kuwa na mhusika ambaye ni mnyama [ufalme/mfalme] hivyo dhana kuwa microchip iliyopo ambayo watu wanawekewa kuwa ni hiyo chapa siyo sahihi maana maandiko yanazungumza vizuri tu namna itakavyokuwa....
2;Chapa iliyoandiokwa kwenye Ufunuo 13 siyo kifaa bali ni hesabu ya jina,tunachopaswa kujua ni kwamba hapo inazungumzwa habari ya jina na hesabu ya jina lake siyo kifaa chochote.Watu,kwa maana ya maandiko matakatifu ya Ufunuo 13:16-18 watapigwa chapa kwenye mapaji ya uso na kwenye mikono yao ya kuume na kuwatambulisha kuwa wao wamekubaliana na kile ambacho mnyama wa pili [Ufunuo 13:11-15] anakifanya kwa niaba ya mnyama wa kwanza [Ufunuo 13:1] kwa maana hiyo hapa tutakuwa na wanyama wawili lakini jina ambalo chapa yake ni 666 ni la mnyama wa kwanza,huyu wa pili atakuja kufanikisha upigwaji wa chapa hii.....
Kwa maana hii hutaweza kuona chapa hii yenye hesabu ya jina la mnyama kabla hujamjua mnyama mwenyewe.Mnyama anayezungumzwa hapo kwenye Ufuno 13:1-3 sijamuona na kwa maoni yangu bado hajakuwepo duniani,sasa utakuwaje na chapa kabla ya mhusika kuwepo?
Maandiko yanasema kuwa mnyama huyo atakuja kwanza kisha atakuja mwingine ambaye atafanikisha hilo zoezi,sasa yote haya yametokea wapi?
Inawezekana hii microchip ni aina ya maandalizi ya chapa hiyo kwa namna moja au nyingine lakini bado hatuwezi kusema hiyo ndiyo chapa yenyewe.Pia,inawezekana kifaa hiki kikaja kusaidia upigwaji wa chapa hii lakini kwa sasa hatuwezi kusema chenyewe ndiyo 666....
ONYO: Usikurupuke kukubali kitu usichojua malengo yake hasa kwa dunia hii ya sasa,tumia muda wako kufanya utafiti kabla hujakubali maana unaweza kujikuta kwenye wakati mbaya sana hapo baadaye....
Ahsanteni....
Mkuu tulia ulambe dawa.Umefundishwa kupinga ni sawa kwako ningekusaidia ila ni uvivu kumsaidia mtu mwenye akili mgando
Ni mambo ya kizushi ya Kisabato....Wote nimewaelewa ..ila nimeomba ufafanuzi kujua juu ya kifaa hicho kama kinarelate na ile chapa iliyoandikwa kwenye biblia na msaafu ,ya anti christ yaani 666 nimeona barcode 666 na kinawekwa mkononi au katika paji la uso....IS IT TRUE NI MAMBO YA NEW WORLD ORDER ???
Hayo mambo wanayo Wasabato, na Walokole wajinga wajinga..Dah!
Nashukuru nilijitoa kwenye mambo ya dini, uongo mwingi, complications kibao, mtu unaishi huna furaha hata kidogo.
Hakuna kitu kama micro-chip wala 666 wala mnyama wala mauzauza mengine. Em ishi kwa amani, fanya kazi, piga hela, kula bata, zunguka dunia, tenda mema. Achana na presha presha, itafika siku yako utakufa, story imeishia hapo.
I'm sorry kama naingilia imani yako ila dini ni ujinga mtupu.
wani wewe ulivyosema mnyama hawezi kutanguliwa na chip kwenye comment yako ulikuwa unmaanisha mnyama yupi?Sasa hiyo chip inakuwaje chapa ya mnyama?
Na ni mnyama yupi huyo?
Watu hawajui maudhui ya kitabu cha Ufunuo..matokeo yake wanafananisha vitu vilivyotajjwa na mambo ya ajabu ajabu...k
wani wewe ulivyosema mnyama hawezi kutanguliwa na chip kwenye comment yako ulikuwa unmaanisha mnyama yupi?
Hivi microchip haiwezi tangulia na kuandaa mazingira ya huo ufalme/mnyama?