Naomba tuwe na forum itakayohusu Elimu

Status
Not open for further replies.

Mtabiri

Senior Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
152
Reaction score
5
Mheshimiwa Moderator,napendezwa sana na jinsi watu wanavyochambua mada mbalalimbali humu jamvini. Binafsi nimependezwa sana na jinsi wataalam wanavyodadavua thread za elimu. Natumaini tutanufaika zaidi kama kutakua na forum ya Elimu kama zilivyo zile za Siasa,Kimataifa,jokes,mahusiano na mapenzi etc. Just mtazamo wangu lakini. Naomba kuwasilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…