Naomba tuwaheshimu sana wanawake

Cymon Taylor

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
1,762
Reaction score
3,446
Kwa kweli hawa watu inabidi tuwape tu maua yao ikibidi hata sanamu wachongewe tu! Imagine majukumu wanayobeba:
  • Kutunza kiumbe tumboni
  • Kulea familia (watoto na baba yao)
  • Kuweka sawa mazingira ya nyumba
  • Kutelekezewa watoto
  • Wengine wananyanyaswa
  • Kususiwa chakula
  • Kukimbiwa nk....
Aisee mambo ni mengi wanayovumilia hawa mama/dada zetu. Hivyo mimi Number ni 26, leo katika siku hii ya mapumziko naomba mpumzike kwa amani wanawake wote waliopo kwenye hii Dunia na Mungu awalinde sana.
 
Mbona wanaheshimiwa tu! Tena wanathaminiwa na kupendwa. Kuna anayedharau wanawake? Huyo anayedharau wanawake aelimishwe
 
Every human being (Either man or woman) should be acknowledged as inherently valuable member of human community and as a unique expression of life.
 
Yamelelewa hayakutupwa mto kagera yanajielewa sasa.......siye kimya tu acha waongee vibaya watakavyo....hatuachi kuwalea na kulea wanenu🙏🙏🙏
To yeye bado una hasira na mimi mpaka leo? Fanya tusameheane bana
 
Ila na wewe unakwama sana.Wapongezwe kwa majukumu waliyopewa kiasili?Ajabu kabisa!
 
Ishi naye kwa akili, hayo ni majukumu yao kama wasaidizi wa mume.
 
Mwanamke mwenye thamani ni mama yako,na mtu uliye muoa tena ambaye ni mtulivu,haya manunga yembe ya mtaani yanaweza yakakufanyia kitu ambacho using kuja na hii mada ndugu,waone tu hivyo,ni mashetani

Mimi namheshimu sana mke wangu kwa sababu miaka mingi niko nae sijawahi kuona mapungufu yanayo Kera,anatunza watoto mimi nikiwa mikoani kazini kwa miaka 11 sasa,sometimes nakosa mkataba kwenye hizi NGO's zetu narudi nyumbani nakaa karibu mwaka mzima lakini sioni,naondoka namuachia mji naukuta uko salama,sasa yako manunga yembe ambayo nimewahi kukutana nayo kwenye urafiki tu,kabla sijaoa na hata baada ya kuo,wako marafiki,staff wenzangu pia ambao matukio ya wanawake hao ukiyaona na kuyasikia utasema haya ni mashetani,tena ogopa sana hawa mabinti wa miaka ya tisini na kidogo,aiseeee!! Ni pumba kabisa hawana maana,mtu mmoja alipiga mimba demu fulani aisee,usumbufu aliokutana nao siyo wa nchi hii
 
Mwanamke mwenye thamani ni mama yako,na mtu uliye muoa tena ambaye ni mtulivu,haya manunga yembe ya mtaani yanaweza yakakufanyia kitu ambacho using kuja na hii mada ndugu,waone tu hivyo,ni mashetani
Ngoja waje wenyewe kukujibu hapo sina majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…