Naomba Tuungane kama Mko Tayari

sawa ntakupa feed back as soon as possible
Pearl,

Many thanks. Itakuwa vizuri kupata feedback ndani ya mwezi toka sasa kuhusu mwiitikio wa shule husika. Pia unaweza kupata rafiki au ndugu au jirani na mkashirikiana kwa pamoja.
 
nipo tayari mkuu anytime goooooooood idear jamani ukame umezidi mjini watu wamevamia misitu na kujenga makazi hivyo tunaitaji kufanya hivyo.

KAULI MBIU YETU NI
YES WE CAN
 
@amanikwenu
umeonyesha nia njema na wazo jema pls lisiishie jamvini tupange kikao tupange mikakati ya kulifanikisha kitaifa
kauli mbiu yetu ni
yes we can
kama imekubalika tuiunge mkono wapwaaz
 
Back
Top Bottom