Upi huo mfumo jikeUlimwengu wa Sasa unaongozwa na mfumo jike. Wewe cheza na akili zilivyo. Usitumie zako hata kidogo. Mwisho utaona nani mshindi
Upi huo mfumo jikeUlimwengu wa Sasa unaongozwa na mfumo jike. Wewe cheza na akili zilivyo. Usitumie zako hata kidogo. Mwisho utaona nani mshindi
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slopeEndapo mwanaume anafuatwa na mwanamke mwenye pesa zake anataka umuoe. Je wewe unashauri Nini Kwa ulimwengu wa sasa? Ulimwengu wa Sasa wanawake wengi wamejilipia Mali Ili waolewe. Sasa wewe unataka kulemba. Wkt wenyewe wanaangalia fursa. Wewe ni nani? Dunia imebadilika mkuu
KabisaUmeona eeh my dear
Kila baada ya sekunde moja nukta, ndugu mwandishi unaupiga mwingi [emoji16]Habari za humu. Ukweli tuongee Ili mambo yakawe sawa. Mwanamke anaendeshwa na emotion Kwa Kiswahili hisia. Hila wanaume wapo in thinking capacity. Kila jambo wanaume wanafikiria na athari zake ziwe hasi au chanya. Sasa katika ulimwengu wa Sasa hutakiwi kufikiria zaidi. Hapo ndo tunaona ukifikiria wenzako Wana take advantage wewe unabaki kufikiria. Wanaume maamuzi Yao yanachukua muda Ili kuamua. Lakini maamuzi yawanawake ni papo hapo. Nashauri na sisi wanaume tuwe na maamuzi ya papo hapo Ili tuendane na Dunia. Dunia ya Sasa hutakiwi kuremba. Kila kitu chukulia kama fursa. Mwanaume tumekuwa wagumu kufanya maamuzi. Maana tunakaaa na kufikiria mara mbili. Mwanamke yupo tayari kuolewa na Mzee Ili mradi anapata Hela. Hataki kudelay kufanya maamuzi. Na sisi wanaume tufanye maamuzi ghafla bila kusita. Ndoa ni lkubet tu. Hivyo hakuna hajak kufikiria. Bet tu kama mzigo pouwa unaish ii tu ila akizingua nawe unazingua maisha yanaenda hivyo
Shida fikra za wanaume za Kimungu. Tunafikiria mara mbili mbili. Ndo maana Kila siku tunareta thread za kuumizwa. Hila ukweli tukiamua kuweka pembeni akili zetu tukatumia zao. Kamwe hatuwezi kuja kulia lia humu.Kabisa, haraka haraka huwa haina baraka.
Mungu alituumba Kwa mfano wake. Wanaume ni mfano wa Mungu. Hata Shetani anatuogopa kutujaribu. Nataka kujua je tupo tayari kutumia akili kama wanawake? Maana nyuzi nyingi wanaume wanalalamika. Shida tunatumia akili za kiume kudeal nao. No heri tutumie zao Ili tuone nani atalalamikaSifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slope
Sifa ya Pili ni consistency kukua yaani kutokea chini kidogokidogo kwa kila kitu uchumi,elimu,mahusiano
Shortcut ni njia za wavulana
Nunua v8 hapo car dealers siji kulipa 😁🚗🚗Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slope
Sifa ya Pili ni consistency kukua yaani kutokea chini kidogokidogo kwa kila kitu uchumi,elimu,mahusiano
Shortcut ni njia za wavulana