Naomba tujadili hili wakuu

Naomba tujadili hili wakuu

baracky

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
63
Reaction score
17
Kwa nini tangu 2016 mpaka sasa taasisi nyingi zimekua haziajiri tena wamekua wakitoa tu nafasi za volunteer na internship
kwa upande wangu huwa napata tabu sana kuelewa unakuta kampuni limeajiri mtu mmoja tu halafu linaita intern watu zaidi ya wawili h
ivi tunafika wapi hali inazidi kua mbaya naomba
 
Back
Top Bottom