hd kama alivosema ni high definition quality ya video inaongezeka. Mfano movie inaweza kua na urefu lisaa moja na ukubwa wa mb 700 na quality ya 720p but hd yake ya movie hio hio inakua na more than gb na quality inaongezeka. Hd unaweza kuangalia kwenye device nyingi
kwa upande wa 3d kama alivosema 3 dimension hii ni technology maarufu kwa computer games ila now imeingia mpaka kwenye video kuelezea inakua ngumu ila kama unataka mfano halisi tafuta movie inaitwa avatar wale jamaa waliiga mfano wa hii technology (japo si real) now kuna device za 3d kama vile tv, cinema, na simu(htc) ambazo unavaa miwani upate real view ya 3d. Kaka kama upo dar na una nafasi na uwezo kidogo unaweza kwenda mlimani city ukaangalia 3d utaelewa zaidi