Invinsible
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 314
- 382
Naombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
Vitu viwili tofauti
MP3 ni kwa audios Clips
MP4 ni kwa videos Clips
MP4 unaweza kui badilisha kwenda MP3 ila kinyume chake zoezi ni zito.
Vitu viwili tofauti
MP3 ni kwa audios Clips
MP4 ni kwa videos Clips
MP4 unaweza kui badilisha kwenda MP3 ila kinyume chake zoezi ni zito.
MP4 inaweza kuwa Audio tuu bila hata video
View attachment 1765695 Kweli kabisa mkuu, mfano hapo pichani kuna mp3 audio na mp4 audio
MP3 ni file format kwa ajili ya audio (kusikiliza music/sound bila kuona picha).
MP4 ni file format kwa ajili ya video (unasikiliza music/sound na kuona picha).
MP3 ni bora kwa audio file format kwa sababu inafit ktk media players nyingi (karibia zote) wakati MP4 ni bora kwa video file formats (zilizopo nyingi) na kuifanya MP4 kuwa popular kwa katika media players (zaidi ktk kompyuta).
Kuongezea ubora huangaliwa kwaNaombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
Sawa boss nimekusomaTumia file container na sio file format kwa case hii, itakua imekaa vizuri kabisa
Vitu viwili tofauti
MP3 ni kwa audios Clips
MP4 ni kwa videos Clips
MP4 unaweza kui badilisha kwenda MP3 ila kinyume chake zoezi ni zito.