Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Tafadhalini kwa wanaojua hivi vitu, uhasibu na ugavi naomba tofauti zake.

kama utajali nitajoe umri na elimu yako!!
Kwa lugha nyepesi:
1. Uhasibu: utunzaji wa kumbukumbu za kifedha kufuatana na taratibu na miongozo ya taaluma ua Uhasibu. Na pili, ni kutafsiri takwimu zinazotokana na kumbukumbu hizo ili kuwezesha wahusika/wadau kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kiuendeshaji.
2. Ugavi: taaluma na shughuli zakusimamia ununuzi/uuzaji na usambaji wa vifaa/mali/huduma kwa kufuata taratibu na miongozo ya taaluma hiyo. Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba hizo shughuli zinafanyika kwa ubora, tija na matokeo chanya. Kwa maneno mewngine, kwa namna ambayo haifuji raslimali.
Natumaini itasaidia.
thank you.....