Naomba sifa za wanaume wa wakipogoro

Ukweli uko sahihi sana ,Ila ungetumia wanaume wanaotoka katika sehemu za Ulanga kwa ujumla wake wana sifa nyingi zinazofanana;

1.Wanapenda sana kujisifia
2.Hawana maamuzi siku zote
3.Wapiga domo kaya sana
4.Wanaendekeza ushirikina kwa kwenda mbele
5.Ni wajuzi wa kukosoa lakini siyo wataalamu wa kujenga
6.Ukabila na udini mbele
7.Hawathamini walikotoka ni walowezi mara nyingi
8.Hawapendi maendeleo
9.Womaniser kwa sana
10.Hawasemi ukweli sana
 
Hamjanisaidia jamani!

Nadhani tungelifahamu kabila lako wewe Uda ingekuwa vizuri sana kwabla ya kuanza kukuambia wapogoro walivyo, halafu mpaka mmefikia so called uchumba hujamsoma tu bado huyo mpogoro wako..??
Kwa kifupi wapogoro wako pouwa sana, hawajapitapita skuli lakini wapo care sana kwa watu wao...nitakumwagia mengi endapo nitajua kabila lako kwanza!!
 
Aisee, Angalia Avatar Yangu.

Copy and Paste

Ukimaliza kusoma bonyeza kitufe cha 'Thanks'
 
1.ngoja nikupe ile roho yako inapenda.
2. Hawa jamaa wanajua kupenda, wanajali na wanatunza.
3.kwa ajili ya upole wao wengi hawaoi kwao maana dada zao kidogo dakika tano mbele.
4.mambo ya kiushirikina wanayajua,haswa iwapo amekulia kule nyumbani na hashiki dini yoyote. Basi saluni atakuwa anapajua.
5.anyway,generaly they are good.umelamba dume.

Ndugu Tall kwa kweli upo right kwa sana.

1.hawa jamaa wa kipogoro kwa mapenzi wapo juu sana - kama wangoni
2. Wana mapenzi ya dhati sana, wakisema wamependa wanamaanisha hivyo
3. Wavumilivu na wastahimilivu sana - hata akijua kuwa mwanamke ana tabia isiyofaa huwa wanavumilia
4. Kujenga mahusiano mazuri sana na ndugu wa upande wa mke
5. Dada Uda kwa kweli umelamba bingo. Unaweza kuni pm nikakupa data zaidi ambazo ziwezi kuzimwaga hapa kwa kuwa watu wengine wana roho mbaya. Baada ya kukusaidia wamebakia kubeza tu
 
Ukweli uko sahihi sana ,Ila ungetumia wanaume wanaotoka katika sehemu za Ulanga kwa ujumla wake wana sifa nyingi zinazofanana;

1.Wanapenda sana kujisifia
2.Hawana maamuzi siku zote
3.Wapiga domo kaya sana
4.Wanaendekeza ushirikina kwa kwenda mbele
5.Ni wajuzi wa kukosoa lakini siyo wataalamu wa kujenga
6.Ukabila na udini mbele
7.Hawathamini walikotoka ni walowezi mara nyingi
8.Hawapendi maendeleo
9.Womaniser kwa sana
10.Hawasemi ukweli sana

This is crap!
Hizo data zinatokana na tafiti ipi uliyofanya? au ndo yale yale ya kupiga domu tu kama ufanyavyo

1.Wanapenda sana kujisifia - kupita wahaya au?
2.Hawana maamuzi siku zote - katika lipi?
3.Wapiga domo kaya sana - kuliko wazaramu?
4.Wanaendekeza ushirikina kwa kwenda mbele - shehe Yahaya mpogoro?
5.Ni wajuzi wa kukosoa lakini siyo wataalamu wa kujenga - kama wewe?
6.Ukabila na udini mbele - Kuliko wachaga ana wahaya? Dini gani unayoizungumzia?
7.Hawathamini walikotoka ni walowezi mara nyingi - katika bongo ya leo ni kabila gani siyo walowezi??????????
8.Hawapendi maendeleo - in what sense? what is development?
U still have a long way to go

Kuna mtu kanambia eti kuna kaukweli hapa ha ha ha ha mie nakataa tabia tabia tu haina kabila wala dini wala chochote
 
This is crap!
Hizo data zinatokana na tafiti ipi uliyofanya? au ndo yale yale ya kupiga domu tu kama ufanyavyo

1.Wanapenda sana kujisifia - kupita wahaya au?
2.Hawana maamuzi siku zote - katika lipi?
3.Wapiga domo kaya sana - kuliko wazaramu?
4.Wanaendekeza ushirikina kwa kwenda mbele - shehe Yahaya mpogoro?
5.Ni wajuzi wa kukosoa lakini siyo wataalamu wa kujenga - kama wewe?
6.Ukabila na udini mbele - Kuliko wachaga ana wahaya? Dini gani unayoizungumzia?
7.Hawathamini walikotoka ni walowezi mara nyingi - katika bongo ya leo ni kabila gani siyo walowezi??????????
8.Hawapendi maendeleo - in what sense? what is development?
U still have a long way to go
9.Womaniser kwa sana
10.Hawasemi ukweli sana

Hizo bluu hizoooooooo umefanya utafiti gani mkuu mpaka ukapata hayo matokeo
 
i see pole!ukimchunguza kuku utashindwa kumla

Shabash!!, Pia ukitaka kumuua Tumbili usi mwangalie uso!!!!!

Ushauri:: Vijana wa Leo, Wacheni kuangalia kabila, rangi, Dini au Nchi ya Wachumba, Dunia imekuwa Kijiji!!!!!!
 
Dada chukua mume weka ndani achana na mambo ya hawa wakoje? je nyie mkoje?!!!
 
1.ngoja nikupe ile roho yako inapenda.
2. Hawa jamaa wanajua kupenda, wanajali na wanatunza.
3.kwa ajili ya upole wao wengi hawaoi kwao maana dada zao kidogo dakika tano mbele.
5.anyway,generaly they are good.umelamba dume.
hizi sifa zaweza kuwa kweli.
 
Back
Top Bottom