Naomba Sheria ya Kufanya Biashara Tanzania kwa kutumia Fedha ya Kitanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Sheria ya Kufanya Biashara Tanzania kwa kutumia Fedha ya Kitanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by bhageshi, Sep 3, 2011.

 1. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ndugu wapendwa wana JF, naomba msaada wenu, yeyote mwenye sheria inayohusu kufanya biashara nchini kwa kutumia fedha ya Tanzania tu anipatie. Hivi sasa kumezuka sana tabia ya wafanya biashara wengi kuuza bidhaa zao kwa US$ badala ya TZS sasa nataka nijelimishe sheria inasemaje juu ya hili jambo na mengineyo juu ya fedha ya Tanzania katika biashara.
   
Loading...