Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia walimu wa kujitolea

Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia walimu wa kujitolea

Unajua hii dunia maisha hayako fair at all.

Ukiwa kama kijana uliyesoma kwa bidii tena kwa gharama ukipoteza muda kusoma leo tena unapoteza muda kujitolea aisee nakuonea huruma kichwa kinavyopasuka unapoona hakuna anayekuzingatia.
 
Huo muda wa miaka mitano na kuendelea kwenye kujitolea, ni bora ungeutumia tu kufanya shughuli zako binafsi za kukuingizia kipato.
 
kweli wajinga hawataisha hii Dunia 🚮🚮
Kusikia kwa kenge mpaka akatwe mkia sasa,..
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
Kwa hiyo msifanye usaili au
 
Back
Top Bottom