Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia walimu wa kujitolea

New Eyes

Member
Joined
Feb 2, 2022
Posts
5
Reaction score
4
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
 
Jaribu bahati yako hapo mkuu
 
Attachments

  • IMG-20250105-WA0017.jpg
    IMG-20250105-WA0017.jpg
    76.7 KB · Views: 33
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
Unapoteza muda kujitolea sio tz na hizi ajira PRAY FOR ZE BEST...
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
Mungu akukumbuke, kwa Jina la Yesu Kristo. I can feel the pain na ninakuombea kwa Mungu ufanikiwe.
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
Mungu akukumbuke mkuu, endelea kujipa nguvu,
 
Duh! unafanyaje kwan?, kwahyo umekubal kua cheap labour mkuu. ndomana serikali haiajir inajua kuna cheap labours na hela au budget ya kuajiria wananunua mavieite wanatuwekaweka folen barabaran wanavopita.
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
HUO ULIOKUWA UNAFANYA NI UJINGA.
 
Ualimu sio kazi kabla hujaingia rasni kwenye hii sekta achana nayo tafuta inshu zingine za kufanya
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu. Nimeoa na nina familia.

Majukumu yamekuwa mengi hadi inafika kipindi nawaza kuacha kufundisha nikomae na kuipambania familia ipate mahitaji ya msingi ila nafsi inataka zaidi niendelee kufundisha. Naomba serikali initazame kwa jicho la tatu.
Kanuni za kiutumishi azitamki kutoa ajira kwa sababu umejitolea. Isipokuwa tu kama una qualification zinazohitajika. Kujitolea kutakuongezea kigezo cha experience kama nafasi itahitaji mtu mwenye experience.
Kanuni za utumishi haziajiri mtu kwasababu ana familia kubwa ya kulisha.
Pambana na interview. Piga sala. Utafanikiwa.
Kazi ya kuomba na kuhitaji huruma, itakutesa lakini kazi ya qualification na struggle zako kumshinda mtoto wa mjomba utaitesa na utakuheshimisha .
 
NDIO MAANA NASEMA HUYU NI MWALIMU MJINGA.

HUYU ANAWEZA KUUZA MITIHANI KWA KUWA MWANAFUNZI ANAWEZA KUFELI.
 
Watu waambiwe ukweli hata kama ni mchungu.
 
NDIO MAANA NASEMA HUYU NI MWALIMU MJINGA.

HUYU ANAWEZA KUUZA MITIHANI KWA KUWA MWANAFUNZI ANAWEZA KUFELI.
Simkatishi tamaa, lakini akikutana na HR mwenye kuelewa sheria na kanuni za kazi akaleta hayo maneno yake kwenye oral. Simply NAKATA. hata kama nafasi moja na amebaki mwenyewe kheri nafasi itangazwe upya upate watu wenye kujiamini.
Usije kuajiriwa ukauza utu wako, kuna tips nyingi kazini ikiwa utakuwa hivyo lakini si muda utachokwa katika vitu muhimu na kazi nyeti zenye kuhitaji watu serious. Upe hadhi ualimu na taaluma yako.
 
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.

Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku.
Shida zako haziwez kuwa za wengine, kwanza unajua maana ya kujitolea? nyie mnaojifanya mnajitolea ndio mnaifanya serikali ipate kiburi cha kutoajiri maana wanaona wanapata cheap labor.

Pambana uonyeshe uwezo kwenye interview ila kama uwezo ni mdogo Bora usiende acha kujificha kwenye kichaka cha kujitolea.
 
Kujitolea mwisho miaka miwili tu mkuu, usipopata unachohitaji ndani ya muda huo inabidi uangalie utaratibu mwingine.
 
Back
Top Bottom