Mahunguchila
Member
- Jun 11, 2012
- 74
- 34
Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima wenye busara wanaweza kunisaidia kutatua tatizo langu. Ninao ndugu jamaa na marafiki lakini nisingependa kuwashirikisha wao.
Nawasilisha.
Nawasilisha.