Naomba sana mnisaidie

Naomba sana mnisaidie

Usiogope,here in JF we dare to talk openly,pole sana kwa mkasa ulokukuta.
 
Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima wenye busara wanaweza kunisaidia kutatua tatizo langu. Ninao ndugu jamaa na marafiki lakini nisingependa kuwashirikisha wao.

Nawasilisha.

U cn pm me
 
Pole sana ni Pm kwani mi ni mtaalamu wa mambo ya ushauri.Najihisi wajibu kukusaidia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima wenye busara wanaweza kunisaidia kutatua tatizo langu. Ninao ndugu jamaa na marafiki lakini nisingependa kuwashirikisha wao.

Nawasilisha.

Ushauri ndio kazi inayonipa kula kila siku. Maoni ni kwamba, kwa kuwa hatuwezi kubalance tatizo lenu hapa kwa kupata maelezo ya upade wa pili basi jitahidi kuwa mkweli ili kupata ushauri sahihi.

Twende kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom