Naomba ruhksa wakogwe,!!

mkenya27

Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Nilikuwa napitapita kwenye mambo ya mtandao,nikakutana na ki2 moja matata sana isitoshe cha kihome home,ukitaka everything unapata nikaona bora ni jiunge,ila kwanza ni wape hi wana na wakubwa niwape haki zao.Simjuzi saaana najifunza 2 kutoka kwenu wakongwe.Usiku mwema jf
 
Tumeingia pamoja mkuu japo nimekutangulia. Huku kutamu ndugu yangu.. Usiku mwema nawe!
 

asante na wewe piana karibu sana jf.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…