Naomba Picha yako Mpenzi!

Desidii hujambo mpenzi?

Umekiuka makubaliano yetu. Mi nazihesabu tu....Haya nambie nani huyo mwenye bahati yake aliyekamata ya 6?

Babu is veeeeerrryyyy disappointed!

Sijakiuka Babu na wewe kunisema hadharani tena ndo mambo gani sasa si ungesubiri nirudi nyumbani ndo unambie kuna mtu kanifurahisha tu nikampatia ila haiendi kokote tena.

Mie mzima kabisa wewe unaendeleaje Babu??

Nimekumiss tu
 
Hivi kumbe ukiwa muongo na mlosi ucwe msaulifu duh hii kweli noma.
 
JF ni kituo cha kupunguza msongo wa majitu ya kwenye vichwa!!

Koku amenikumbusha mbali sana...ule wimbo ulikuwa unasema...Naomba picha yako, ooohhhh....mamaaaaaaaaaaa!!

Kokudo..tuwasiliane basi nikupe digital camera moja hivi ya Sumsung...itakupunguzia msongo wa mawazo.

Ila hakikisha kwamba hutoi picha zako hovyo...Unaweza kutakiwa kulipa gharama kubwa sana (in cash or kind) ili zisiingizwe kwenye mitambo ya photoshop
 
Kokudo umeombwa picha nini lol hebu chukua ile picha uliyopiga wakati uko gulioni:lol::lol:
 
Hahahha kokudo wewe unavituko sana dear
sasa hizo trip mmmmhhhbhh
Mpaka ufike huko si vumbi na jasho
hata hiyo picha uta taka kupiga kweli?
Nakwambia na kulvyo mbari kwe2 mmh mijasho mivumbi yote yangu
 
Love...nimeona mtu anapitisha BURA hapa mtaani sijui anaenda kuuza wapi lol

Hahaha lol
bura ipi dear
mangure au busa?
labda anaenda ku exchange na picha?

Nway kabla sijasahau
Naomba picha yako mpenzi...
Ningependa ile tuliyo piga kule Imboru..
hahaha lol
 
Hata pozi hauna Koku, haya simama wima halafu ukianza kujipiga useme chiiiiiiiiizi. Itatokea vizuri!!!
Ha ha ha teh teh umenikumbusha ntaweka na dole gumba.
 
Hahaha lol
bura ipi dear
mangure au busa?
labda anaenda ku exchange na picha?

Nway kabla sijasahau
Naomba picha yako mpenzi...
Ningependa ile tuliyo piga kule Imboru..
hahaha lol
Ile itakuwa ni manguree ile picha tuliyopiga Imboru unajua iliungua si unakumbuka siku ile ulivyoshikwa hasira ukachoma vitu chumbani sasa na ile picha ilikuwemo mule ndani
 
Sijakiuka Babu na wewe kunisema hadharani tena ndo mambo gani sasa si ungesubiri nirudi nyumbani ndo unambie kuna mtu kanifurahisha tu nikampatia ila haiendi kokote tena.

Mie mzima kabisa wewe unaendeleaje Babu??

Nimekumiss tu

Hivi kama umenimisi kiukweli, Sehemu ya kunipata huijui eti eh?
 
Ile itakuwa ni manguree ile picha tuliyopiga Imboru unajua iliungua si unakumbuka siku ile ulivyoshikwa hasira ukachoma vitu chumbani sasa na ile picha ilikuwemo mule ndani

Ohhhh dear
Kweli hasira hasara
Hivi we bado unakumbuka ile siku
nway itabidi turudi tena Imboru tukapige nyingine
..

Sasa muazime Kokudo ile camera yako basi...
 
Ohhhh dear
Kweli hasira hasara
Hivi we bado unakumbuka ile siku
nway itabidi turudi tena Imboru tukapige nyingine
..

Sasa muazime Kokudo ile camera yako basi...
Ile camera tuliyonunua mwaka 90 si unajua ukipiga picha leo inabidi usubirie wiki moja ndio upate picha
 
Back
Top Bottom