Naomba Picha yako Mpenzi!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Katika vitu vinavyonipa wakati mgumu kwenye mahusiano ni kuombwa picha eebwana inanipa taabu sana.nakumbuka mala ya mwisho kupiga picha ilikua namaliza standard 7 sasa akiomba picha inabidi nifikirie kwenda studio kupiga picha mackini hata pozi nilisha sahau hv kwa wewe unafanyaje khs hl?mimi kwangu ni mtihani.
 
Kokudo una vituko wewe hivi bado unakwenda kupiga picha Studio na simu za kichina zote hizi za camera zilizojaa?? we kweli wakizamani aisee siku hizi mambo yote kwenye screen kwisha, hata documents siku hizi watu hatuprint tunatuma soft copy vipi wewe
 
Picha ya nini??mkiachana anazifanyeje??anachoma?au?Mimi nina albam nilichukua kwa demu wangu enzi hizo akiwa kidato cha 6 Azania nanilishapotezana naye kama miaka 16 hivi ila na mtafuta nimpe picha zake kwani hata my wife nilisha mwambia alikuwa rafiki yangu!!
 
DA kwanza nikupongeze kwa kuwa msomaji wangu wa kwanza pia cm za kichna naziogopa hazina grentii pia hazitoi picha nzuri alafu ntatoa wapi yale mapazia ya rangi ya bahari?
 
Kokudo mpendwa mambo vipi aisee!!! Dah mwazime mtu kamchina hapo upige picha umtumie. Au mwazime DA digital Camera upige fasta umtumie halafu umrudishie sawa eeh!!!
 
Kokudo
Umenichekesha sana my dear..
Presha na hasira zinapungua sasa
Sasa my dear hizo studio bado Zippo kweli?
 
Kokudo
Umenichekesha sana my dear..
Presha na hasira zinapungua sasa
Sasa my dear hizo studio bado Zippo kweli?
Afrodenzi pole kwa mbavu zako dear!huku kwe2 zipo lakin zko mbal kweli mpaka utembee kwa miguu alafu upande baiskel alafu unapanda gari ndo unafka sa mi ntawezea wapi?
 
Afrodenzi pole kwa mbavu zako dear!huku kwe2 zipo lakin zko mbal kweli mpaka utembee kwa miguu alafu upande baiskel alafu unapanda gari ndo unafka sa mi ntawezea wapi?

Hahahha kokudo wewe unavituko sana dear
sasa hizo trip mmmmhhhbhh
Mpaka ufike huko si vumbi na jasho
hata hiyo picha uta taka kupiga kweli?
 
Kokudo mpendwa mambo vipi aisee!!! Dah mwazime mtu kamchina hapo upige picha umtumie. Au mwazime DA digital Camera upige fasta umtumie halafu umrudishie sawa eeh!!!
LD mambooo!
Mchna hana maana hata kidogo ngoja nimuazime DA digital yake vp khs pozi mana nimeshasahau.
 
Afrodenzi pole kwa mbavu zako dear!huku kwe2 zipo lakin zko mbal kweli mpaka utembee kwa miguu alafu upande baiskel alafu unapanda gari ndo unafka sa mi ntawezea wapi?

Kaazime camera au simu upige halafu ujitumie uweke kwenye screen yako na huyo aliyekuomba picha yako mtumie kwa MMS
 
Mi naona kama ndo dizaini hii ntaacha kabsa make mi maswala ya kuombana picha tena inabd leo nianze safari ya kwenda mjini cjui hata kuna umeme mana na mgao huu
 
LD mambooo!
Mchna hana maana hata kidogo ngoja nimuazime DA digital yake vp khs pozi mana nimeshasahau.

Hata pozi hauna Koku, haya simama wima halafu ukianza kujipiga useme chiiiiiiiiizi. Itatokea vizuri!!!
 
Mi naona kama ndo dizaini hii ntaacha kabsa make mi maswala ya kuombana picha tena inabd leo nianze safari ya kwenda mjini cjui hata kuna umeme mana na mgao huu

Thread zako huwa nazipenda mie hongera
 
Picha ya nini??mkiachana anazifanyeje??anachoma?au?Mimi nina albam nilichukua kwa demu wangu enzi hizo akiwa kidato cha 6 Azania nanilishapotezana naye kama miaka 16 hivi ila na mtafuta nimpe picha zake kwani hata my wife nilisha mwambia alikuwa rafiki yangu!!

Kakakiiza please rekebisha kidogo, demu wako alikuwa kidato cha 6 Azania? Something is not ok here.
 
Kakakiiza please rekebisha kidogo, demu wako alikuwa kidato cha 6 Azania? Something is not ok here.

Ha ha ha Chuna basi maana hata mie niliona nikauchuna ha Azania wasichana wameanza juzi tu maana hata mie nikiwa Form Six hukooo mwaka kama sio 1992 hivi walifanya fujo hawo wanafunzi wakahamishiwa shule za mikoani nakumbuka waliletwa shuleni kwetu wakiwa form two na kulikuwa bado hakuna wasichana hapo ha ha ha ha ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Hizo thanks mbona umezimwaga sana mkubwaa kunani?

Desidii hujambo mpenzi?

Umekiuka makubaliano yetu. Mi nazihesabu tu....Haya nambie nani huyo mwenye bahati yake aliyekamata ya 6?

Babu is veeeeerrryyyy disappointed!
 
Back
Top Bottom