Naomba Pendekezo la kabila la pwani ambalo mwanamke anakaa kitako home na wasio wavigoma na shughuli

Kati Yao yupo bikra?

Mwenye tako je ++
?
Ata tukushauri vip Najua mwsho wa siku utamuoa mwenye matako makubwa tuu
 
Kati Yao yupo bikra?

Mwenye tako je ++
?
Ata tukushauri vip Najua mwsho wa siku utamuoa mwenye matako makubwa tuu
Ukanda wa pwani hakuna wanawake wenye mizigo ya maana..wengi ni flat skrini na matipwatipwa tu.

Mizigo iko nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mi nashauri oa mmakonde kwa ajili ya kizazi kipambanaji, jasiri na kisichokata tamaa hapo baadae. Niamini, wamakonde wengi wamekosa elimu na exposure tu (sababu za kihistoria na ukoloni) lakini nakuambia ni watu wenye asili ya mapambano sana na uhangaikaji ndo maana hukosi kuwakuta kwenye kila fursa. Pia wana asili ya ujasiri sana (sio waoga), ndo maana kule kwao simba mharibifu (hata awe zaidi ya mmoja) huwa anazungukwa na kuuliwa na wao wenyewe live. Si wamasai tu wanaoua simba, kuna wamakonde pia ingawa hawasemwi.

Ukipata mke wa kimakonde, ukaenda nae kwa maisha unayoyaongoza wewe kama mume (uliyeelimika, mwenye maono na mchapakazi), watoto ukawawekea msingi bora......nakuapia utakuwa na kizazi kimoja bright hautoamini.

Ukumbusho, wamakonde wana asili ya sanaa pia........
Umesema mengi kuhusu ujasiri na uthubutu wa chinga , ila umesahau kuwa jamaa anataka mke .
Wamakonde wana ngoma zao za kimila msondo na mkomange, mwanamke alitefundwa na ngoma hizi anakuwa mwanamke hatari sana kwenye tasnia ya ndoa , mosi anajiamini sana maana anakuwa anajua mapenzi , pili anakuwa na dharau sana maana ni rahisi sana kumteka mwanaume yoyote timamu, na tatu huwa hawatuliii
Sishauri makonde kwa lengo la ndoa , ila kama lengo ni kukidhi sexual fantacies, wako vizuri sana .
 
Kaulize tena vizuri alokusimulia kakuingiza chaka mkuu Wamakonde hawana Msondo wala Mkomange wao wanacho kitu kinaitwa Chiputu kwa watoto wadogo wa kike Huo (Mkomange) Usahihi ni Mkomango wanao wamakua au Wamwera kama sijakosea na Chiputu hakiathiri tabia kwa kuwa ni jambo wanalolifanya watoto wakiwa na umri wa miaka mi4 hadi 6 huwa hawafunzwi chochote kunako mambo ya kikubwa
 
Uko sahihi mkuu.
 
Unaweza ukawa sahihi sana , ila msondo na huo mkomango ndio ngoma za kimila zilizotawala mkoa wa mtwara,
Mila za kimakonde hazijasambaa sana kwenye makabila ya wamwera na wamakua , ila desturi za kimwera zimeingia sana kwa wamakonde na ndio swaga za mkoa huo.
 
Umesema mengi kuhusu ujasiri na uthubutu wa chinga , ila umesahau kuwa jamaa anataka mke .
Wamakonde wana ngoma zao za kimila msondo na mkomange, mwanamke alitefundwa na ngoma hizi anakuwa mwanamke hatari sana kwenye tasnia ya ndoa , mosi anajiamini sana maana anakuwa anajua mapenzi , pili anakuwa na dharau sana maana ni rahisi sana kumteka mwanaume yoyote timamu, na tatu huwa hawatuliii
Sishauri makonde kwa lengo la ndoa , ila kama lengo ni kukidhi sexual fantacies, wako vizuri sana .
Mi nimezubgumzia mke kiongozi,.....wa kujenga nae familia. Hizo habari zingine hizo yakupasa kuwa makini kweli kuzisikiliza; kama hujaishi na wamakonde, unaweza kuogopa hata kuwasalimia. Ukweli ni 2% na uzushi ni 98%
 
Umenena kweli tupu mkuu, nilichogundua unajua kuhusu historia, ukiondoa masuala ya kula mapanya, vyura, nyoka na madubwasha mengine ya porini kwenye mawindo yao wamakonde ni majasiri alafu wana asili ya ubishi, hio ni kwa wote sio wanawake sio wanaume, sasa wamatengo ni kinyume chake ndio maana nikasema akimpata mwanamke aliechanganyika na jamii hizo mbili anakua ameokota dodo chini ya mstimu,
Hata hayo machakula ya kichina siyo wamakonde wote wenye kutumia.....sana sana ni ile jamii inayotambulika km wamawia (wana asili ya msumbiji) na hata huko kwa wamakonde wenyewe huwa wanakawaida ya kujitenga kabisaa. Isitoshe siku hz desturi hizo zimeondoka kwa kasi sana!
 
Kuna ndugu yangu aliyakanyaga alioa kabila la akina Kikwete hawa sijui ndio wakwere. Ndugu yangu mhaya wa kwetu sijui alizuzuka na ule weupe. Mwanamke umbwa kabisa kamharibia watoto. Hajui malezi, hajui kujishughulisha, she is a waste yule mbwa na zaidi naona akamroga ndugu yetu.
Kkmmk tuko wengi,nina mzigo natamani Hadi kuukopesha kama CR7,haukopesheki,watoto kaharibu na ni mwanga pia
 
Wamakonde wana ngoma zao za kimila msondo na mkomange
Ngoma za wamakonde ni Nganga, Nsakata, Msondo, Likuti, Mikoli, Nakudunda, Mapiku, Mangoti, Singenge, Ntengu, Nkala na Sindimba

Hupenda haki muda wote ila ni wepesi wa hasira endapo utawazingua, kiufupi ni hivyo tu
 
Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao.
1. Mluguru
2. Mkwere
3.Msagara
4.Mzigua
5. Mzaramo
6.Msambaa
7.Mbondei
8. Mdigo
9. Mjikenda
10. Mkunya
11. Mdengereko
12. Mwera
13. Myao
14. Mmakua
15. Mmakonde.

Binafsi katika upambanaji wangu nimempa namba 1 Myao, 2,Mkwere, 3. Mjikenda.
Naomba tathimini yenu nifanye final

Ruksa kufanya ranking mpya

Karibuni
Mimi ni mchanganyiko wa wa Mhaya na Mnyiha ( Baba Mhaya, mama mnyiha)

Karibuni.
wewe unadai unataka mwanamke wa pwani (pembezoni mwa bahari), lakini inaonekana hata makabila ya pwani huyajui! vizuri.
 
Kuna ndugu yangu aliyakanyaga alioa kabila la akina Kikwete hawa sijui ndio wakwere. Ndugu yangu mhaya wa kwetu sijui alizuzuka na ule weupe. Mwanamke umbwa kabisa kamharibia watoto. Hajui malezi, hajui kujishughulisha, she is a waste yule mbwa na zaidi naona akamroga ndugu yetu.
Wewe unafikiri kwa nini Kikwete hakuoa kwao! Sasa wewe unaenda kuvamia tu.
 
Sijamaanisha kutafuta rizki. Labda sikutumia Kiswahili kizuri. Namaanisha hawajibiki hajigusi ndani ya nyumba. Ni vivu, mharibifu, mfujaji, mshenzi, roho roho mbaya n.k
Anko wangu kaoa mdengereko 😂😂 habari anayo! Sema maisha yanasonga coz mwanaume ni mpole mno.
 
Back
Top Bottom