Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Ina maana harrier tako la nyani vs subaru forester xt,sh5 ni nani hapo ?

Maana izi forester kiukweli zimekamata soko la Tz ivi sasa zipo nyinginmnoo na zinavutia hasa ukili pimp mguu mkali ukipata enye roof inakuwa chicha
Hebu nioneshe Subaru yenye ukali kuzidi huu mzee mwenzangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ when it comes to pimp game

8801DF84-F641-41AF-86AC-583235AA6A07.jpeg


C36B49F8-437F-4A00-B4A3-E81C99BE0F33.jpeg


F00DA4EC-D8BA-4F3D-A398-057697B11111.jpeg


F44BACC5-88A6-4B52-8637-0C647C2E0665.jpeg


6B925B0E-EA2F-4185-B74F-285A6829B3B6.jpeg


5A2D8B6E-A42E-422B-ABAE-AE622461B41A.jpeg
 
Extro huo mguu wa picha ya 3 sio mchezo
Hahahah mzee baba chuma iko sexy sana yani!

Nafikiri ndio maana wabongo hawaachi kuzinunua hizi gari! Ikiwa piruu ukaitia kiatu cha maana 20โ€ rims waweza hisi dunia ni yako!

Hata Vanguard nayo ikila Vossen za maana 20โ€ mzee haina kipengele kuna moja nakutanaga nayo sana mataa ya External aisee bakora sio mchezo!
 
Hahahah mzee baba chuma iko sexy sana yani!

Nafikiri ndio maana wabongo hawaachi kuzinunua hizi gari! Ikiwa piruu ukaitia kiatu cha maana 20โ€ rims waweza hisi dunia ni yako!

Hata Vanguard nayo ikila Vossen za maana 20โ€ mzee haina kipengele kuna moja nakutanaga nayo sana mataa ya External aisee bakora sio mchezo!
Dah mkali umetisha, ila hata hii forester Xt uki pimp rims kali inatoka chicha
 
Subaru is good car kama utazingatia regular maintenances za hili gari.. common problems za gari za Subaru ni injni problems zinatokana na kuto badirisha egine oil kwa wakati, pia zinashida ya head gasket ku blow, zina shida ya oil consumption (this is an inherent problem because of engine design(subaru ina boxer injini yaan piston zake zipo horizontal so hakuna effects za natural gravitational force inayo rudisha oil kwenye sample pan pale pistons zinapo move toward crankshaft) pia injini ya subaru inashida ya kivujisha oil kwakua seals za injini zinachoka haraka. Kingine kwenye injini ni tatizo la thermostat.. kibonobongo wengi huondoa hizi thermometer ili kuruhusu maji ya kupoza injini yazunguke bila restrictions na kuavoid overheat

Kwenye suspension systems hii gari inakuja na independent suspensions meaning each wheel is independently attached to car chase hizo itakupa comfort ride kwenye rough road but changamoto ya suspension hizi ni kwamba zina bushings nyingi sana kiasi kwamba zinakua na gharama nyingi ku replace then inakua shida.

Gari inakuja na XT asymmetrical all wheel drive (transmission) system so this is the delicate system though ni tough and seems reliable and dependable kwenye barabara mbAya kiasi cha ku affect tire grip/reaction . So hii asymmetrical inahitaji gari ifungwe tairi zinazolingana pande zote nne unless una affect operations effectiveness.

Gari hii zingatia kuweka recommend transmission fluid ya subaru wenyewe and not otherwise
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom