Naomba niwaulize dada zangu

Kipenzi Chao

Member
Oct 12, 2010
99
4
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;

  1. Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee
  2. Mkufu unaovaliwa mguu wa kushoto pekee
  3. Mkufu unaovaliwa miguu yote
Natambua kabisa kuwa yapo makabila mengine wanavaa kama urembo tu, na si vinginevyo. Lakini nilipata pia kusikia kuwa kwa baadhi za jamii kila mguu hubeba ujumbe wake; kama vile tiGO thumni, kotekote, nk. Sasa naulize kuhusu ukweli huo na mguu upi humaanisha nini?
 
Haimaanishi chochote zaidi ya mapambo tu.

Kwa dataz zaidi unaweza kumuuliza mvaaji, ana maanisha nini, kwa kuvaa mguu wa kushoto au kulia au yote miwili!
 
Mapambo tu hayo nyie ndo mnatoa maana nyingine mbona za shingoni hamsemi au za kiunomi mnaona kawaida kwanini mguuuni tu?
 
Warembo+wengi+wanapovaa+suruali+hasa+za+Jeans+hupenda+kuvaa+kwa+ile+staili+ya+Kata+K+ambayo+huacha+chupi+nje+au+makalio+9+Juni+2008.jpg
 
mmmmhhh bwana usipagawe mambo ya kawaida tu
inatokea sana wakati mtu umevaa mini skirt, short n.k
na umevaa malapa au sendoz ambazo hazina mikanda..
na unaweza vaa kwenye mguu wowote...
ni jinsi tu ya kuongeza accessories kwenye out fit....
 
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;

  1. Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee
  2. Mkufu unaovaliwa mguu wa kushoto pekee
  3. Mkufu unaovaliwa miguu yote
Natambua kabisa kuwa yapo makabila mengine wanavaa kama urembo tu, na si vinginevyo. Lakini nilipata pia kusikia kuwa kwa baadhi za jamii kila mguu hubeba ujumbe wake; kama vile tiGO thumni, kotekote, nk. Sasa naulize kuhusu ukweli huo na mguu upi humaanisha nini?

wana jf tuwe siriaz, karibu kila wk kuna post juu ya mikufu ya miguuni, this wk i'v cn three..... Tazama jf photoes na siasa: i wish we w'd be bringing new things. Btw, ni mapambo tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom