Naomba niwasaidie heart broken men and women kama nilivosaidiwa mimi

IMG-20170221-WA0007.jpg
 
huwa naacha sababu ukitaka kuniacha nakuweka karibu mpaka ukolee halafu nakubutua itsover ya moto moto hasa nikijua kuna demu ndiye anayekufanya uniache nahakikisha kule kunasua sua ndiyo nakuwaka yani hapo nakuwaga na amani balaaa hasa napo kuona unajiuliza kwani umekosea nini huku ukiwa umeshahu wakati unanitafutia sababu ya kunimwaga teh nawapatiaga wanaume mpaka raha ,, nasirudii matapishi umeende nenda kafie mbele huko

NB: unapokuwa kwenye mahusiano hakikisha unajua udhaifu wake huo ndiyo mzuri kumshikilia nao .. usipojua huwezi kufanya nayo fanya mimi
Hehehehehehe hii strategy ni kiboko, inaitwa "Double Impact"
 
Kumbe kumuita mtu shemeji hadi muwe ndugu!! Sikulijua hilo.

Na kwani kuitana kaka na dada kwani sisi ndugu?
Itabidi nirudi shule kwa hali hiyo...

Au mo alikuambia mimi rafiki yake!

Mwisho wa reli mbali ningekuita jirani
 
Back
Top Bottom