Naomba niwaage

pole sana kaka MWENYEZI MUNGU AKUPIGANIE POPOTE ULIPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana kaka ni vema kumpa mtu moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana kaka fanya na mazoezi kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nimekuwa mwenye furaha na amani tele kuendelea kuwepi nanyi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
na ikiwezekana tafuta majani ya iyombo wachaga wanayaita hivyo naimani utakuwa poa ila kikubwa zoezi kaka na kwepa vyakula vya sukari kula vyakula vya alkaline kwa sana nenda vegetarian kama ikiwezekana kurudisha mazingira ya mwili sawa na zoezi nila kusahau maji ya moto kwa wingi kama kichwa kikiwa kinauma na mafua tumia kitungu swaumu tafuna

au changanya iyombo na kitungu swaumu twanga weka maji kunywa nusu glass utatema makohozi pamoja na chafya nyingi ila ndio njia ya kupunguza mucus mwilini

maana sisi wengi hatujui kwamba mafua (mucus) ni chanzo cha magonjwa mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nimekuwa mwenye furaha na amani tele kuendelea kuwepi nanyi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
na kama mafua au kama corona ni inamafua (sijaona bado au kuona mgonjwa ndio maana nimeweka kama ni mafua) jaribu kula vyakula vya alkaline sana nimejatibu kufanya hivyo japo sijapata hilovtatizo ila mafua yanadhibitiwa kabisa

only way ya kupona ni msosi eat to live kaka naimani utakuwa fiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi
Dawa nyingine inakuja
Ila wote wamekunywa na wamevaa barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu Ushimen Mungu atukuzwe kwa kukuruzuku maisha tena maana ulikuwa umeshakata tamaa kabisa! Sasa mwanangu usije ukamwacha hata siku moja, kama ukikuwa humjui sasa ni fursa yako kumjua na kumtumikia! Yunafundishwa kwenye Katekismu kwamba Mungu ametuumba ili tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho twende kwake mbinguni. Sasa kama haya ulikuwa umeyasahau ni wakati muafaka kuyakumbuka na kuyatenda! Kila wakati Mungu anapotupa fursa ya pili huwa ana makusudi yake! Mimi nilikoswakoswa kufa kwenye ajali ya gari landcrusier mkonga ikawa nyang'anyang'a lakini nikatoka bila mchubuko, kila nilipogonga humo kwenye gari penyewe ndipo palibondeka siyo mimi! Huwa nikifika hapo nachoka mwenyewe na haya makusudi ya Mungu! Sasa mkuu hiyo dawa iliyokutibu iweke hapa kwa ufasaha kabisa ili wote tujue! Pia toa ushuhuda kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…