First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485

so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia
nimerudi bwana si unajua home ni home? 4give mi my darling

bebii upo mpenzi? Na we hilo ni kosa, niombe msamaha koz ulisema unasepa humu jf.
inategemea ni kosa gani kweli sio kila siku unamkuta na beki tatu sijui bed unafogive tumhh daily nisamehe kwa kosa lilelile?
iyo dharau..na anakuwa amaanish samahan zake cz anajua akiitamka tu sweetie nisamehe we unajibu ahh poa yamekwsha....MTU AKISEMA SAMAHAN INAMAANA STARUDIA KOSA ILO..
UYO WA SAMAHAN THEN KESHO TENA KARUDIA TENA NA TENA ...mhh kaa nae akueleze kwwa mapana ugumu wa kuacha io tabia...lazima kuna sababu la sivyo asingekubali kuendelea kukuuzi kwa kosa moja dail..pole
Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea,
Tuzungumzie kwenye mapenzi
Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa mkosaji amekiri na kutambua kosa lake, hapo unaweza kumsamehe kwa moyo mweupe kabisa.
Lakini inakuwaje ukiwa na mpenzi anaeomba sana misamaha? Hapa namaanisha kila siku anakuwa anafanya makosa na kukuomba msamaha akisema harudii tena lakini hazijapita siku mbili kosa lingine, ukimweleza o sweety nisamehe sitarudia, unamsamehe, siku kadhaa tena kafanya kosa tena anaomba msamaha,
swali, hawa watu wanaokuwa warahisi wa kutenda makosa na kuomba misamaha kila siku wanafanya makusudi wakijua watasamehewa au?
so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia

nimerudi bwana si unajua home ni home? 4give mi my darling
inategemea ni kosa gani kweli sio kila siku unamkuta na beki tatu sijui bed unafogive tu
HAPANA.MTU AWEZ KUISH BILA KUKOSEA....lakin kukosea ni mara moja kurudia kosa tangu januar mosi mpaka desemba 30 KOSA NI LILE LILE .. UTAITAJE?ni dharau...kose aleo ili kesho lile bt daily kosa moja mhh apana..apo kuna kingne zaidi ya kosa..uenda anafanya ivo ili akufukuze tu..akufukuzae akwambii toka so anakosea/anafanya lile linalokuudhi makusud ili uweze kusoma situation na ikiwezekana usepe..MTU ANAYEKUPENDA/KUJALI AWE RAFIKI AU MPZ AU ATA NDUGU ukimwambia iyo mbaya acha/ilo kosa usirudie tena NI LAZIMA ATATII ..HATARUDIA TENA..LAKIN KUKOSEA KOSA MOJA DAILY NI MAKUSUD NA NATAKA AFIKISHE UJUMBE FLAN NA KM UNA AKIL NZUR UTAGUNDUA TU NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ACCORDNGLY

wory not nilienda village am back na leo nashinda hapa

I have forgive u my sweetheart, hata hivyo in my side it was bonge la msiba to be lonely in the room.
samehe mara 7sabini,.....utabarikiwa hadi uchanyikiwe

wory not nilienda village am back na leo nashinda hapa

kweli kupata baraka kwahitaji moyo
umeona eeh nimewamiss sanaaa

woooow!!! So proud to hear that, its so strange to be far my love.

umeona eeh nimewamiss sanaaa