Naomba nisaidiwe ushauri wa haya mambo mawili

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya ..ama baaada ya hilo mimi nina maswali mawili
la kwanza ni jinsi gani au ni hatua gani au inabidi nifanyeje ili kuanzisha kampuni yangu ya kibiashara

swali la pili ni kwamba kama nina busness idea ambayo nahisi inaweza kuleta profit kubwa sana lakin nikawa natakaa niwasilishe kwenye makampuni makubwa mfano makamapuni ya simu ni hatua gani inabidi nizifate au inabid nifanyeje.

ahasanten majibu mnaweza kuniandikia hapa hapa au inbox au hta kwa sim 0759212578 au kama wewe ndo muhusika we can make a deal pamoja
 
Hilo la pili kuwa mwangalifu wasije kuishia kuiba idea yako halafu wewe hupati kitu

Nenda COSOTA kasajili idea yako ili uwe na haki miliki halafu Ndio uendelee na suala la kwenda kuongea na makampuni ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom