Naomba ninunulie simu yenye WHATSUP

Si hilo la kuchunwa.... mzima mzima

Sasa ningekimbia price. Kaache kabint kafurahi jamani. Siku mojamoja na sisi lazima tuonyeshe usirikiano. Acha tu nimnunulie.
 
Mwanaume wa kweli ni yule anaejua kuhonga,,,,, wapi kikosi cha mizinga!!!!
 
Mwanaume wa kweli ni yule anaejua kuhonga,,,,, wapi kikosi cha mizinga!!!!

Asavali umenielewa tinna cute. Mbona papuchi ni zaidi ya kila kitu jamani. saa ingine tunakuaga na roho ngumu lakini mwanamke lazima ahongwe kidogo.
 
Nimecheka sana benteke kwasababu kunawakati nilishasema ivo kwa mtu nilipigwa kalenda acha kabisa,siyo kwamba nilishindwa kununua ila nilitaka toka kwake na hapo ndipo alipofeli kwa kunipiga kalenda,kanunue tu benteke
 
Last edited by a moderator:
Sasa ningekimbia price. Kaache kabint kafurahi jamani. Siku mojamoja na sisi lazima tuonyeshe usirikiano. Acha tu nimnunulie.
Haya mfurahishe Mamaaa... ili mkitoka ubadili muondoko kwa haki
 
Nimecheka sana benteke kwasababu kunawakati nilishasema ivo kwa mtu nilipigwa kalenda acha kabisa,siyo kwamba nilishindwa kununua ila nilitaka toka kwake na hapo ndipo alipofeli kwa kunipiga kalenda,kanunue tu benteke

Hahaha, pole sana. Wanaume wengi wakipindi hichi tunakariri sana mambo. kitu kama simu kumnunulia msichana ni kitu cha kawaida sana.
 
Haya mfurahishe Mamaaa... ili mkitoka ubadili muondoko kwa haki

Yaani sasa ivi nafikiri ntaota mabawa kabisa. Ila ni kawaida yangu kutoa shkrani ingawa wengine huzikimbiaga.
 
Benteke piga ua una range 22-25 yrs, isije kuwa mama anatumia ya tochi huyo unamnunulia ya whatsup

Benteke piga ua una range 22-25 yrs, isije kuwa mama anatumia ya tochi huyo unamnunulia ya whatsup

Hasante. Du kumbe naonekana mdogo. Aisee. Basi nina mwili mzuri.
 
Mnunulie ila usirudi kulalamika ooh yupo busy na watsapp hakupi papuchi...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…