Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Nitamtafuta ili nimroge mtu fulaniUpo Honey...
mshana jr anaujua vizuri..

Huo uchawi unatakiwa mtumiaji uwe na 'kipaji' cha uchafu, vinginevyo hutoweza.Nitamtafuta ili nimroge mtu fulani![]()
Basi hiyo biashara ngoja niwaachie wanaowezaHuo uchawi unatakiwa mtumiaji uwe na 'kipaji' cha uchafu, vinginevyo hutoweza.
Hilo ndilo chaguzi sahihi, mwanamke tumia vipawa ulivyojaliwa kummiliki mume, uchawi achia Kalumanzira.Basi hiyo biashara ngoja niwaachie wanaoweza
Jamani hivyo vidole umependelewa mrembo,maana ni wachache tu wana vidole kama hivo.Kwan si mkeo wa ndoa,muache akuroge ili usione wengine
Aikambe.wewe ulimuuliza katoa maoni yake .. kwa upeo wake wa kufikiria mkeo yupo sawa..sema wewe ulijiandaa kusikia majibu fulani
Yaani unauliza utafikiri hufanyagi maufyanku hahahahahaaaaaaa watu kwa vunga au zuga hatari golini wasikilizaji mpira umekuwa mwingiiii.Hivi kweli huo uchawi upo?
Hahahaha njoo nikukune navyoJamani hivyo vidole umependelewa mrembo,maana ni wachache tu wana vidole kama hivo.
Hata kama nafanya inakuhusu nini?hata nikizuga unanijua au nakujua?Kaa mbali na mimiYaani unauliza utafikiri hufanyagi maufyanku hahahahahaaaaaaa watu kwa vunga au zuga hatari golini wasikilizaji mpira umekuwa mwingiiii.
Tena tukiwa kwenye mautamu nakwambia baby nikwaruze mgongoni mpaka nitoke damu,na wewe huyoo unakwaruza krrrrrrrrrrrrrrrrrrr kuanzia juu hadi chini halafu saa hiyo sisikii maumivu,yaani nasikia uroda tuu,maumivu keeeshoooo,halafu unaniambia baby njoo nikutibu mkwaruzo poolee usijali nitakubembeleza.Hahahaha njoo nikukune navyo
Basi mrembo,kweli sikujui hunijui na usikasirike mamii unisamahe.Hata kama nafanya inakuhusu nini?hata nikizuga unanijua au nakujua?Kaa mbali na mimi
inawezekana kesharogwa dawa aijaanza fanya kazi,...Jiandae nawe uko mbioni kurogwa
Basi pole mrembo.Hata kama nafanya inakuhusu nini?hata nikizuga unanijua au nakujua?Kaa mbali na mimi
mke wako enawezekana na yeye pia mshirikina anaamin ayo mamboHabari zenu wakuu,
Leo nimepokea simu ya mdogo wangu akinipa taarifa ya kuachana rasmi na aliyekuwa mkewe madai kuwa mkewe alikuwa akimfanyia vitendo vya ushirikina (limbwata) na mambo yanayo husiana na urozi kiasi cha mdogo wangu kukabidhi mshahara wote kwa mkewe kila apatapo, kumuogopa amuonapo na kushindwa kujiamini.
Mimi binafsi sikuweza kumshauri aachane nae ila nikamwambia awaeleze wazazi maana huenda wao wakawa na jibu zuri au ushauri sahihi zaidi kilichonifanya niandike uzi huu ni kuwa, baada ya kulifikiria sana suala hili nikaona bora nimshirikishe mke wangu kwa kumueleza kisa kizima cha shemeji yake na mkewe.
Jibu alilonipa mke wangu limenishangaza jamani nanukuu ''HAKUNA TATIZO HAPO MUME WANGU, KAMA MKEWE KAMROGA ILI AMPENDE MBONA NI VIZURI KWANI HUENDA MDOGO WAKO ALIKUWA NA MICHEPUKO. MWAMBIE AMRUDISHE TU WALA ASIMUACHE KWANI ALIKUWA AKIMSAIDIA ILI AMPENDE YEYE TU'' Mwisho wa kunukuu.
Jamani mimi nimebaki nimeduwaa maana sijui niseme nini kwa huyu mke wangu, yeye anaona yuko sawa na wala hana wasiwasi na kauli hiyo.Kama ndo ungekuwa wewe ndugu yangu ungefanyeje?
Mwombe Mungu yasikufikeInawezekana kweli ila mimi mshahara simkabidhi,nje nawaona wengine na mabo mengine mengi nafanya..