Naomba nijitambulishe kwenu

Naomba nijitambulishe kwenu

Makalangilo

Senior Member
Joined
Mar 9, 2009
Posts
133
Reaction score
19
Waheshimiwa wanachama wa jamii forums!

Mimi naitwa Makalangilo,nimejiunga na jamii forums kwa kuamni kuwa ni mahali pa kutoa maoni na michango mbalimbali.Pia ni mahali ambapo ninaweza kupata maarifa kwa kuwa naamini wana JF wengi ni watu makini na watu wenye uelewa mkubwa nwa mambo.

Kwa hiyo naomba nijumuike nanyi.
Asante sana.
 
Hapa ndio mahalim pake!

Karibu ukumbini!
 
Waheshimiwa wanachama wa jamii forums!

Mimi naitwa Makalangilo,nimejiunga na jamii forums kwa kuamni kuwa ni mahali pa kutoa maoni na michango mbalimbali.Pia ni mahali ambapo ninaweza kupata maarifa kwa kuwa naamini wana JF wengi ni watu makini na watu wenye uelewa mkubwa nwa mambo.

Kwa hiyo naomba nijumuike nanyi.
Asante sana.

Wala hujakosea Karibu sana !! usiache wasiliana na Maxence Melo!
 
Karibu na jisikie upo kwa watu wanaokujali na wanaojali nchi yao na kupinga mafisadi
 
unakaribishwa sana na jitahidi kuitumia nafasi hii kujielimisha na kuelimisha jamii pia, ni eneo zuri kama utaheshimu kanuni na taratibu aidha utajifunza mengi na ya aina zote, jitahidi ujifunze mema zaidi mana huu ndio ulimwengu wa kujifunza yote, ila pendelea kuyazingatia mazuri na kuyageuza yawe ndio dira yako ya maisha.
 
Karibu sana makalangilo!naamini utawakalangija sana mafisadi
 
karibu sana. Karibu ujumuike nasi katika kuchangia mada mbali mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom