unaogopa kuhudumia ila be care me mademu kama hao waga nawakwepa sana maana mwanzo uliomba chance kagoma saiv anakuja kiulaini aisee mzee baba chunguzaNaweza kupiga nikaibuwa shida nyingine mkuu.
fuatilia kama iko safe unapiga tu mzee babaMwanzo alikuwa mdogo wake, ila naamini alijuwa kuwa nina mfuatilia mdogo wake!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]TOM.BA
Sawa mkuuMkapime mimba kwanza, usije ukaingizwa mtegoni kuhudumia mimba ya mtu mwingine wakati huo utaambiwa ni mimba yako.
Na kama ameamua kuwa nawe na we ukakubali; basi awe nawe kiukweli ukweli.
Usije kurudi na mirejesho mingine.
Mengine, amua mwenyewe.
Haha mtego mzuri sana
Duuh hapo ngumu! Sinaga tabia za kukurupuka