Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 499
- 1,064
Kuna vitu vinaumiza sanaTanzania ni watumwa wa Muungano
Kakisiwa kaduchu kama chululu ya mtoto mng'aa kanatupanda kicwani
Ona akili zako 🤣 hapa tunaongelea maswala nyeti ujue
Yeye kaleta nyeti ki ukweli ukwelii😂Ona akili zako 🤣 hapa tunaongelea maswala nyeti ujue
Ana zeeka vibaya huyuYeye kaleta nyeti ki ukweli ukwelii😂
Mavi kumbe ni 'nyeti'!Yeye kaleta nyeti ki ukweli ukwelii😂
Comment yako ina mashiko.Sisi wenyewe tuanze kujitambulisha km wa Tanganyika tuache kutumia Tanzania km wao wanavyojitambulisha wa Zanzibar. Ndiyo maana wanatuona mabwege
Hilo ndiyo swala la msingi sana maana hata wao akili itawakaa sawa watajua sasa Muungano imekaa mguu sawa. Na iwe agenda ya kujitambulisha ktk vikao vya Gov na vyama vya siasa.Comment yako ina mashiko.
'Tanzania' ibakie kimataifa huko, lakini sisi tujiite Watanganyika dhahiri bila kuuma uma maneno, kama ambavyo upande wa pili wanavyojiita Wazanzibari kwa bashasha na wivu mkubwa!
Ewaa!Hilo ndiyo swala la msingi sana maana hata wao akili itawakaa sawa watajua sasa Muungano imekaa mguu sawa.
Mimi ni mtanganyika