Naomba mwongozo wenu

Naomba mwongozo wenu

Mimi ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ndo naomba mwongozo wenu michelle
 
Karibu sana mkuu, kama ni muongozo ndio huwa Kyabushaija ashakupa....sasa kazi ni kwako kuvurumisha hoja za nguvu na kuanzisha thread zenye akili kwa maendeleo ya nchi!!
 
shukran xana mkuu, tupo pamoja
 
Mimi ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ndo naomba mwongozo wenu michelle

mh,nilisahau kuirudia hii thread,natumai Kyabu amekusaidia sana,ujifunze ku-PM ukiwa na shida tu unauliza through PM usipate kazi ya kuandika thread.....karibu sana Mr Coo;!!!
 
Mr Cool umenikumbusha aka za zamani; wakati wa Nigar J,White cool, Black Moses, Dollo solo, Ndulla, Msella Nondo Carzy Millionare, Young Nigar, Mad Ice, na mengine bila shaka wazee wa Oldies watakuwa wanakumbuka anyway karibu sana Mr Cool!!!!
 
Mh! nashindwa hata kukukaribisha, maana sijui kama nko ndani au nje. mi sikupiga hodi nilivyoingia na nimeshachangia mada kadhaa.
Wana JF naomba mnisamehe kwa kweli sikupata kujua hata kama kuna sehemu ya kubishia hodi, nilipoingia tu nilikuta mada kali sana nikaanza kuchangia na sikufanya utafiti mbaya zaidi nilikuwa natumia simu ya mkononi kwa hiyo nilikuwa natoka haraka baada ya kuchangia. naamini mtanipokea.
 
Kairibu yakhe humu utakutana na mamiss joto baridi itaisha, na muongozo umeupata hapo juu.
 
mh,nilisahau kuirudia hii thread,natumai Kyabu amekusaidia sana,ujifunze ku-PM ukiwa na shida tu unauliza through PM usipate kazi ya kuandika thread.....karibu sana Mr Coo;!!!

shukran sana michelle, tupo pamoja
 
Mr Cool umenikumbusha aka za zamani; wakati wa Nigar J,White cool, Black Moses, Dollo solo, Ndulla, Msella Nondo Carzy Millionare, Young Nigar, Mad Ice, na mengine bila shaka wazee wa Oldies watakuwa wanakumbuka anyway karibu sana Mr Cool!!!!

haha kumbe jina limekaa kizamani eeh, ila cool shukran kwa mapokez
 
Mh! nashindwa hata kukukaribisha, maana sijui kama nko ndani au nje. mi sikupiga hodi nilivyoingia na nimeshachangia mada kadhaa.
Wana JF naomba mnisamehe kwa kweli sikupata kujua hata kama kuna sehemu ya kubishia hodi, nilipoingia tu nilikuta mada kali sana nikaanza kuchangia na sikufanya utafiti mbaya zaidi nilikuwa natumia simu ya mkononi kwa hiyo nilikuwa natoka haraka baada ya kuchangia. naamini mtanipokea.

teh teh tumekupokea mwigulu ondoa shaka, karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom