Naomba mwongozo wa mahali pa kuandika Unlocking code ya Modem model E220

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Nimefanikiwa kupata unlocking code ya Modem ya HUAWEI Model E220 HSDPA USB MODEM. Tatizo langu ni sijui sasa niiandike wapi hiyo code ili ku unlock modem yangu. Naomba mwongozo kwa yeyote tafadhali!
 
weka lain tofauti kwenye modem yako.mfano kama modem ya voda weka airtel.then launch the huawei program yako ya internet.itakuuliza code.weka hzo code zako.rmbr hakikisha uckosee 10 tyms or modem yako itakuwa blockd
 
Asante sana! Hata hivyo jana niliweka line ya airtel lakini nilipo launch the program, ilipokuwa inajaribu kudetect ikasema No SIM/USIM or SIM/USM error. Sasa hivi nimejaribu kuweka tigo lakini inafanya vivyo hivyo. Sasa sijui ni hii aina ya modem? kwani ni E220,
HSDPA USB MODEM zile za zamani za voda. Nifanyeje?
 
weka lain tofauti kwenye modem yako.mfano kama modem ya voda weka airtel.then launch the huawei program yako ya internet.itakuuliza code.weka hzo code zako.rmbr hakikisha uckosee 10 tyms or modem yako itakuwa blockd

Mkuu sidhani kama akiweka line tofauti na ya mtandao wake itakubali sbb hii huwa inakwambia tu kuwa hakuna sim card au sim card uliyoweka ni tofauti, haikupi option ya kuuingiza unlock code, zinazokupa option ni zilu zilizo kama flash. Kwa E220 chungulia hapa;https://www.jamiiforums.com/technol...e-huawei-modem-unlocking-codes-request-4.html Hapo tafuta post #61 Downdload hayo maelezo
 
Niimeifuata hiyo link na nimefanikiwa kufika hatua ya kudownload. Lakini najiuliza hiyo password aliyosema katika maelezo yake kwamba niitumie (yaani POWER) Nitaitumia wapi? Na je User name nitumie ipi? Au ninatakiwa ku- register na hapo ndo nitumie username yoyote lakini password nihakikishe inakuwa POWER? Assistance Please!!
 
Mkuu hilo file utakalodownload litakuwa ni zipped...........takapo li-unzip litaanza then litakutaka kuweka pasword ili liendelee ku-unzip kupata hilo faili la ndani
 
oh.nimekusoma nicky ur right.ckuelewa aina ya hyo modem vzuri.nilichukulia ni kama za sasa hv za huawei...
 
Niimeifuata hiyo link na nimefanikiwa kufika hatua ya kudownload. Lakini najiuliza hiyo password aliyosema katika maelezo yake kwamba niitumie (yaani POWER) Nitaitumia wapi? Na je User name nitumie ipi? Au ninatakiwa ku- register na hapo ndo nitumie username yoyote lakini password nihakikishe inakuwa POWER? Assistance Please!!

Mkuu nimeifuatilia lakini nimekwamia hapa katika kudownload. https://rapidshare.com/#!download|841tg|435558710|e220_Unlock_Pack.rar|7020 Nimefungua free account hapo tayari na ninapojaribu kudowload kwa kutumia hiyo option ya slow download haidownload hata kidogo! ninakosea wapi?
 
Mkuu nimeifuatilia lakini nimekwamia hapa katika kudownload. https://rapidshare.com/#!download|84..._Pack.rar|7020 Nimefungua free account hapo tayari na ninapojaribu kudowload kwa kutumia hiyo option ya slow download haidownload hata kidogo! ninakosea wapi? Naomba mdaada wa hapo kwa aliyenipata!
 
Pole mkuu, ila file mimi ninalo............ni MB kama 7 hivi............nmejaribu kuliupload hapa limekataa ni too large kuwa uploaded, sasa labda kama unaweza weka email yako nikutuie
 
Maelezo(steps) haya hapa....file check kwny email yako

Mkuu nime-follow hizo steps lakini niliporun Firmware Update Wizard, limetokea dirisha linalosema hivi, 'The device is not ready according to the following reasons. HUAWEI E220 HSDPA USB Modem was not found in the system; make sure it has connected to your computer'

Bado niko njia panda!
 
Wakuu nime-follow hizo steps lakini niliporun Firmware Update Wizard, limetokea dirisha linalosema hivi, 'The device is not ready according to the following reasons. HUAWEI E220 HSDPA USB Modem was not found in the system; make sure it has connected to your computer'

Assistance please!
 
Nicky82 upo??!! nimekwama mkuu!
 
Zasasule, may you kindly assist on this isue?
 
Back
Top Bottom