Naomba mwongozo wa mahali pa kuandika Unlocking code ya Modem model E220 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mwongozo wa mahali pa kuandika Unlocking code ya Modem model E220

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Feb 26, 2011.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimefanikiwa kupata unlocking code ya Modem ya HUAWEI Model E220 HSDPA USB MODEM. Tatizo langu ni sijui sasa niiandike wapi hiyo code ili ku unlock modem yangu. Naomba mwongozo kwa yeyote tafadhali!
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  weka lain tofauti kwenye modem yako.mfano kama modem ya voda weka airtel.then launch the huawei program yako ya internet.itakuuliza code.weka hzo code zako.rmbr hakikisha uckosee 10 tyms or modem yako itakuwa blockd
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Asante sana! Hata hivyo jana niliweka line ya airtel lakini nilipo launch the program, ilipokuwa inajaribu kudetect ikasema No SIM/USIM or SIM/USM error. Sasa hivi nimejaribu kuweka tigo lakini inafanya vivyo hivyo. Sasa sijui ni hii aina ya modem? kwani ni E220,
  HSDPA USB MODEM zile za zamani za voda. Nifanyeje?
   
 4. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu sidhani kama akiweka line tofauti na ya mtandao wake itakubali sbb hii huwa inakwambia tu kuwa hakuna sim card au sim card uliyoweka ni tofauti, haikupi option ya kuuingiza unlock code, zinazokupa option ni zilu zilizo kama flash. Kwa E220 chungulia hapa;https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/86955-free-huawei-modem-unlocking-codes-request-4.html Hapo tafuta post #61 Downdload hayo maelezo
   
 5. S

  Soki JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
 6. S

  Soki JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Niimeifuata hiyo link na nimefanikiwa kufika hatua ya kudownload. Lakini najiuliza hiyo password aliyosema katika maelezo yake kwamba niitumie (yaani POWER) Nitaitumia wapi? Na je User name nitumie ipi? Au ninatakiwa ku- register na hapo ndo nitumie username yoyote lakini password nihakikishe inakuwa POWER? Assistance Please!!
   
 7. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu hilo file utakalodownload litakuwa ni zipped...........takapo li-unzip litaanza then litakutaka kuweka pasword ili liendelee ku-unzip kupata hilo faili la ndani
   
 8. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  oh.nimekusoma nicky ur right.ckuelewa aina ya hyo modem vzuri.nilichukulia ni kama za sasa hv za huawei...
   
 9. S

  Soki JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimeifuatilia lakini nimekwamia hapa katika kudownload. https://rapidshare.com/#!download|841tg|435558710|e220_Unlock_Pack.rar|7020 Nimefungua free account hapo tayari na ninapojaribu kudowload kwa kutumia hiyo option ya slow download haidownload hata kidogo! ninakosea wapi?
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimeifuatilia lakini nimekwamia hapa katika kudownload. https://rapidshare.com/#!download|84..._Pack.rar|7020 Nimefungua free account hapo tayari na ninapojaribu kudowload kwa kutumia hiyo option ya slow download haidownload hata kidogo! ninakosea wapi? Naomba mdaada wa hapo kwa aliyenipata!
   
 11. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu, ila file mimi ninalo............ni MB kama 7 hivi............nmejaribu kuliupload hapa limekataa ni too large kuwa uploaded, sasa labda kama unaweza weka email yako nikutuie
   
 12. S

  Soki JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
 13. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maelezo(steps) haya hapa....file check kwny email yako
   

  Attached Files:

 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu!
   
 15. S

  Soki JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu nime-follow hizo steps lakini niliporun Firmware Update Wizard, limetokea dirisha linalosema hivi, 'The device is not ready according to the following reasons. HUAWEI E220 HSDPA USB Modem was not found in the system; make sure it has connected to your computer'

  Bado niko njia panda!
   
 16. S

  Soki JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wakuu nime-follow hizo steps lakini niliporun Firmware Update Wizard, limetokea dirisha linalosema hivi, 'The device is not ready according to the following reasons. HUAWEI E220 HSDPA USB Modem was not found in the system; make sure it has connected to your computer'

  Assistance please!
   
 17. S

  Soki JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nicky82 upo??!! nimekwama mkuu!
   
 18. S

  Soki JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Zasasule, may you kindly assist on this isue?
   
 19. j

  jeeva Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kupata maelekezo Kufungua kwa Bure Huawei E220 katika hapa Mobileunlocksolutions.com na kufungua ni kutoka lock mtandao ...
   
Loading...