Naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha

Sihitaji marafiki - Fid Q
Sauti ya ghetto - professor jay
I'm sorry JK-nikki mbishi
Niaje nivipi- joh makini
Penati ya mwisho- chindo man
Mitihani- nashi mc
Kanisa- Dizasta vina
Hisia- Lunduno(nikkimbishi one stereo)
Mtoto wa kiume- mabovu
Mkombozi-Roma

Zimetosha kwa leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom