Naomba mwenye cv na datas za rita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mwenye cv na datas za rita

Discussion in 'Celebrities Forum' started by boma2000, Apr 10, 2011.

 1. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  huyu mdada nampenda sana ila sina details zake tangu kuzaliwa, CV yake na kama ameolewa na ana watoto wangapi,
   
 2. inols

  inols JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mbona ofisi zake zinafahamika, nenda tu kamuulizie kwenye ofisi zake!
   
 3. i

  imosha Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tena ana roho nzuri sana. mstaarabu kupitiliza. mzukie mjengoni kwake...
   
 4. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivi ujue hana CV wala resume ni mjasiriamali tuu aliyeibuka kwa kuwa karibu na mzee wa ipp, ni mkimbizi toka rwanda aliyejichomeka Tanzania na kui enjoy life ya bongo kama wafanyavyo wakina kagendo
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ofisi zake ziko wapi nimzukie..
   
 6. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  achane dhihaka wadau kama huna data za kutoa beta shat up
   
 7. Labata

  Labata Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahmada....
   
 8. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hajaolewa ila ana mtoto mkubwa tu,alizaa akiwa na miaka 16
   
 9. a

  abbygil Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umbea tu
   
 10. u

  urassa Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana Phd kutoka Rwanda
   
 11. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha tamaa mbaya, haya ni maji marefu tafuta size yako.
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kajaliwa usafiri..
   
 13. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nyie ndio mnaorudi nyuma kimaendeleo eti tafuta size yako si useme unamaanisha nini

  Dharau zinawajaa ndio kwenye kila kitu mnashauri watu wasisonge mbele enemy wa progress

  Mifano ikiwa ni size yake au sio size yake mapenzi au casual urafiki yanachagua status??

  Kesho ndio utaona mtu kwao wapo level ya chini anataka apply kazi ya kulipwa vizuri mtasema wewe hufai wakati akili na mengine hanayo s
  Àsa wewe nenda kashauri nduguzo juu ya kuback up na sio kukatisha watu tamaa humu

  Sipendi wanaoshauri watu wasijaribu who knows?
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli sina habari zake kwa undani jamani..............ila nadhani ni good women...
   
 15. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama binadamu yoyote labda ana mapungufu yake, lakin mimi namfahamu kwa mema tu niliyoyaona kwake.
  Mpole,msikivu,hachoshi kuongea naye,ana upendo,mchapa kazi,anajipenda na kujithamini,anaijali sana afya yake, si mtu wa kukata tamaa wala kumkatisha mtu tamaa.
  Mtafute kwenye website ya ofisi yake,ili ufanye contact naye ,pia upate cv yake kama kweli unamtafuta kwa wema.
  All the best.
   
 16. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  u said it all mkuu,katika maisha ili ufanikiwe,sometimes ni lazima ku risk.Wabongo uoga uoga uoga..eti siyo size yake?Kwani umesikia anataka kumbeba mgongoni???
   
 17. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ala, yashakuwa hayo!
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Anapatikana kona baa usiku nenda pale ufantasize na dizaini yake na uache ndoto za mchana!!
   
 19. h

  hurumazaMungu New Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  she is beautiful for sure
   
 20. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .......She is The Executive Director of BenchMark Productions, She once dated with IPP Chairman, but they are separated. She has one kid
   
Loading...