Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

Bolingo Ya Telephone

Senior Member
Jun 29, 2020
114
116
Wakuu shwari?

Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa ujumla?

Naomba maoni yako!
 
Ruti ya Arusha Mbeya ni ruti ya kazi inahitaji gari inayotembea na ya uhakika wa safari.

Nimeipanda ruti ya Arusha Njombe kupitia babati wako freshi kwenye muda na usalama pia.

Nadhani hata Arusha mbeya watakua poa.
 
Wakuu shwari?

Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa ujumla?

Naomba maoni yako!
Hii sina kumbukumbu kama Kimotco wanaenda Mbeya
Labda kama wameanza sikuizii
Magari yanayotokea Arusha Mbeya ni
Arusha Express
Kapricon
Hajjies pekeee
Kuhusu route ni mrefuu haswaaa
Kufika kuanzia saa nne usiku na inategemea gari la siku hiyo kama hakuna tatizo lolotee.
Mwisho confirm kama Kimotco wameanza route hiyo kwani wanakuwaaga na route ya Iringa na Njombee.
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom