Naomba muongozo kuhusa MBA

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
WADAU NATEGEMEA KUANZA KUSOMA MBA NJE YA TANZANIA SIKU ZA KARIBUNI NAAMINI HAPA WAPO WALIOSOMA MBA NA HATA KAMA HAWAJA SOMA WAPO WANAOFAHAMU KUHUSU MBA.TAFADHALI NAOMBA MNIPE MUONGOZO KWA MAANA YA NI MASOMO GANI MAGUMU ,JINSI YA KUYAKABILI NA MBINU ZA KUJISOMEA MBA MAANA DEGREE YANGU YA KWANZA SIO YA BBA WALA HAINA MAHUSIANO KABISA NA MAHESABU

tafadhali naomba muongozo

Je utafanya MBA ya nini mfano MBA in IT, MBA in Finance etc.? au ni general MBA?..tuanzie hapo!

Normally, in the first year of your study ( or first semester for those vasities with one year full time MBA) you will have to cover various disciplines related to business studies ( in a medley fashion) such as Marketing; Accounting; Human Resources; Finance; Management; Business IT; etc. In the final year (or final semester for one year full time MBA) you will have to specialize in any of the business disciplines of your choice ( e.g., Marketing, Accounting, Finance, various combinations of these, etc.) depending on the methodology and curriculum of the respective varsity.

Yes, why not?

jiulize wenye biashara kubwa kubwa hapa nchini wana hizo MBA au wamewaajiri waoga wa kuanzisha biashara zao/waogo wa kutake risk wenye MBA? the point is huhitaji MBA to run your own business, the more you go high in study, the more you become afraid of taking risk.

Sure!!

Normally, in the first year of your study ( or first semester for those vasities with one year full time MBA) you will have to cover various disciplines related to business studies ( in a medley fashion) such as Marketing; Accounting; Human Resources; Finance; Management; Business IT; etc. In the final year (or final semester for one year full time MBA) you will have to specialize in any of the business disciplines of your choice ( e.g., Marketing, Accounting, Finance, various combinations of these, etc.) depending on the methodology and curriculum of the respective varsity.

Ahsante HARDWOOD nimekusoma MKUU,ushauri mwingine tafadhali katika hizo selective which is the best one?

WE WACHA KUSUMBUA WATU HAPA GOOGLE HAYA YAFUAYO NDIO MASOMA YA MWANZO KABISA

-General Management and Organisational behavior
-Human Resources Management
-Corporate Finance
-Corporate Governance
-Leading Change and Restructing
-Public Policy furmulation Analysis
-Enviromental Management
-Managerial Economics

HAYO NDIO YA KUANZIA MENGINE NITAKUPA MBELENI,KOMAA MBA NI NZURI SANA NA HATA KAMA UMESOMA SOCIALOGY UKIKOMAA UNAWEZA NA NI MUHIMU SANA KWA KILA KITU INCLUDING YOUR OWN BIASHARA

ahsante mkuu ngoja nigoogle sasa hivi nitaku update

Normally, in the first year of your study ( or first semester for those vasities with one year full time MBA) you will have to cover various disciplines related to business studies ( in a medley fashion) such as Marketing; Accounting; Human Resources; Finance; Management; Business IT; etc. In the final year (or final semester for one year full time MBA) you will have to specialize in any of the business disciplines of your choice ( e.g., Marketing, Accounting, Finance, various combinations of these, etc.) depending on the methodology and curriculum of the respective varsity.

Heshima kwako Hardwood,

Mkuu uko sawa lakini pia inategemea first degree ulifanya nini.Mfano Mhandisi,Daktari au mtaalamu wa kilimo sijawahi kusikia waki major kwenye Accounting au Marketing sana sana wanaspecialize Corporate Management au vyuo vingine Strategic Management.

WE WACHA KUSUMBUA WATU HAPA GOOGLE HAYA YAFUAYO NDIO MASOMA YA MWANZO KABISA

-General Management and Organisational behavior

-Human Resources Management

-Corporate Finance

-Corporate Governance

-Leading Change and Restructing

-Public Policy furmulation Analysis

-Enviromental Management

-Managerial Economics

HAYO NDIO YA KUANZIA MENGINE NITAKUPA MBELENI,KOMAA MBA NI NZURI SANA NA HATA KAMA UMESOMA SOCIALOGY UKIKOMAA UNAWEZA NA NI MUHIMU SANA KWA KILA KITU INCLUDING YOUR OWN BIASHARA

acha kukariri si MBA zote contents zinafanana. Mwambie atafute course content ya huko aendako.

Kama huna knowledge ya hesabu ngumu nakushauri usiende. au ujipamge sawasawa maana huko utakutana na Accounting, Finance, Economic na zaidi ya hapo utakutana na QM (Quantitative Technique). La msingi anza kujizoeza scientific calculator. Hizi zote au baadhi utakutana nazo kwenye general courses.

KILA KITU KINAWEZEKANA JUHUDI YAKO TUU WENGI WAMEFANYA VIZURI HATA BILA KUWA NA BACKGROUND YA HESABU NA INGEKUWA LAZIMA UJUE HESABU WATU WALIOSOMA LLB,PUBLIC RELATION,SOCIOLOGY NA WENGINE WASINGEPATA ADMISION

kaza buti utafika

Back
Top Bottom