Asante sana kwa kulifikiria hilo.... Endapo ungeweza kutupa wazo lolote kuhusu promotion ushauri wako ungesaidia sana....Ubarikiwe sanaNgoma kali, sema itakosa Promo coz ya "uandagraundi"
Hii ilipaswa kuimbwa na JMoo ukute inasumbua sasa
Sent From Ikulu-Magogoni street
Amini usiamini ushauri wako utaufanyia kaziNgoma iko fresh sana,, jaribu kuitangaza zaidi,, kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii, na vituo vya redio na tv,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio ngoma walio chukulia kipande pambogo shulen ??Habari zenu wakuu...Poleni kwa mihangaiko...
Najua humu ndani kuna watu wengi sana wanaojua muziki na ndio mana kuna kazi nmeileta muichambue, Ninawaomba mnipe mrejesho kama kazi iliofanywa ni nzuri au la, imekaosewa wapi, inahitaji nini cha ziada, Nguvu zielekezwe wapi na ushauri wa ziada kutoka kwenu members wenzangu.
Kazi yenyewe hii hapa chini na ninawaombeni wanajukwaa wenzangu muipime..Mungu awabariki....
Comment zenu ni muhimu sana
YES...Ndio hii mkuu,,Kumbe na wewe upo MbeyaHii ndio ngoma walio chukulia kipande pambogo shulen ??
Uku wengne wamewazunguka na vijana walikua wanaendelea na mazoez ya Mpira??
Sent using Jamii Forums mobile app