Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

IreneMora

Member
Sep 26, 2016
16
0
Habari wandugu zangu,Wakubwa shkamoo,

Mwenzenu nimekumbwa na tatizo kidogo! Nilikua nimeanza vizuri,sasa naona nashindwa kumalizia Ada yangu ya Chuo,naomba msaada wenu,na Niko mwaka wa Mwisho,Ni Mimi Irene niko Sokoine University of Agriculture (SUA),
Namba yangu ya mawasiliano
0657859843
 
Mimi nasoma SUA,nachukua Bsc.Food Science and Technology, 23years! Niko Mwaka Wa Tatu wa masomo!
Mwanzoni Swala la kulipa Ada,Mama yangu alikua ananilipia,lakini matatizo yakaikumba familia yetu,Mama akawa anaumwa,anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo na presha,hali yake ikawa ni kulala tu ndani,hawezi tena kwenda sokoni kufanya biashara,ndugu zangu ambao mama amewasaidia nao kila mtu akaondoka kutafuta maisha yake!,baada ya kuona hali ya maisha imebadilika pale nyumbani,nikabaki sina msaada,Nikajaribu kuuza nguo za ndani kwa wanafunzi wenzangu hapa chuoni,ili niweze kupata ela ya kula na kujikimu Mimi na familia yangu!
Kwa sasa hali imekua Ngumu,Natakiwa nilipe Ada huku chuo,na pia nyumbani mama hali nayo sio nzuri!
 
Sasa unataka mkopo kwa ajili ya chuo au kwa ajili ya biashara wewe Irene?
 
Kwani mami hiyo corse yako ya miaka mingapi. Pili adayako shingapi mpaka kumaliza
 
Kwani mami hiyo corse yako ya miaka mingapi. Pili adayako shingapi mpaka kumaliza
Course yangu ni ya miaka mitatu,na Mimi nipo mwaka wa tatu kwa sasa! Ada ya mwaka mzima wa Masomo ni 804,500/=,ambayo bado sijalipa.
Na pia mwaka jana nikiwa mwaka wa pili nilibakisha deni la ada 454,500/=.
 
Pole sana IreneMora Mungu atampa ahueni Bi Mkubwa wako..

Ombi limegusa na kwa niaba yako ninawaomba wana JamiiForums tumsadie Dada yetu,
Mimi nina mtihani wakibiashara kidogo vinginevyo ningetuma watu wangu wafanye mawasiliano nawe na wakijilizisha wangekusadia kulipa chuo moja kwa moja...
 
Course yangu ni ya miaka mitatu,na Mimi nipo mwaka wa tatu kwa sasa! Ada ya mwaka mzima wa Masomo ni 804,500/=,ambayo bado sijalipa.
Na pia mwaka jana nikiwa mwaka wa pili nilibakisha deni la ada 454,500/=.
Dada unaufahamu mzuri na mfumo wa kulipia ada wa SUA? kwa jinsi ilivo ni ngumu sana kwa SUA kuingia kwa pepa ikiwa hujamaliza ada kwani hutoona matokeo wala coarse work SUASIS na ukichelewa zaidi matokeo yakatoka unatakiwa kurudia hyo semester au mfumo umebadirika?
 
Mfumo ni uleule kaka,last semester niliandika barua na kuahidi kwamba nitalipa ada,wakaniruhusu nifanye mitihani,ila matokeo yalivyotoka SUASIS yangu,ilifungwa (sikuweza kuview matokeo),kama wenzangu! Kwa sababu sikumaliza Ada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom