Naomba mtazamo wako kuhusu hili

Naomba mtazamo wako kuhusu hili

Kama alikua na chaguo la kuoa mke mlefu kwa nini alingangania mahusiano na mtu mfupi? Potelea pote kama anamapenzi ya kweli amuoe tu.
 
Watu ambao wanafanyaga mambo kwa kuangalia walimwengu watasema nn? hawajiamn na hawawez kuwa na aman nafsin mwao,unataka kuwafurahsha walmwengu, utaweza?,unaoa ww au wanaoa walimwengu,KUJIAMN NI MWANZO WA MAFANIKIO MAISHANI.
 
Kama alikua na chaguo la kuoa mke mlefu kwa nini alingangania mahusiano na mtu mfupi? Potelea pote kama anamapenzi ya kweli amuoe tu.

Ahhha shosti ungefanyia editing hii post

Kungangania - kung'ang'ania
Mlefu- mrefu
 
Mi sioni tatizo hata kidogo Hapo labda mwanaume angekuwa mfupi Ke mrefu ingekuwa shida kidogo.

Waoane tu kinacho matter ni mapenzi ya dhati na kuheshimiana.

Kwa hiyo sisi wanaume wafupi ni shida kwani, mbona mim na wangu tunapendana
 
Habar wa MMU, bila kuwachosha niende kwenye topic.

Nina jamaa yangu kaniomba ushauri kwamba anataka kumuoa mpenzi wake ambaye wanapendena sana, jamaa yangu katulia na mpenzi wake katulia sana na ana heshima na sifa za kuwa mke.

Sasa tatizo aliomba nimshauri ni mpenzi wake ni mfupi na yeye ni mrefu, mpenzi wake anamfikia usawa wa kifua, anaona kama watu wataona ni kituko.

Mimi nimemshauli amuoe asiangalie watu watasema nini, asikilize moyo wake unataka nini.

Wana MMU mnaonaje urefu na ufupi ni tatizo kwenye mapenzi?

Mmhh Jamani . Kwani Dada Wa watu alijiumba mwenyewe? Kama wanapendana kwa nini ajali ya ulimwengu? Walimwengu midomo ndio asili yetu na ni kazi yake ni kuongea na kula tuu. Anaweza kumuacha huyo akatafuta mwingine pia still tutaongea . Kwa hiyo ndugu Mwambie Rafiki yako afuate moyo wake . Afanye kinachomfurahisha Mungu na Moyo wake . Asante na mapendo tele.
 
Uzuri ni kwamba watu wore kuanzia kiunoni kuja chini wako sawa, so asione shida!Cha muhimu kama hizo sehemu ziko sawa basi waoane, hayo mengine madoido tu:A S wink:
 
Mimi hapo wala sioni tatizo, sana sana nakushangaa wewe na huyo rafiki yako, kwasababu ukiangalia kwa kawaida watu wengi wanaoana mwanaume mrefu mwanamke mfupi au wanalingana, kituko huwa pale mwanamke anapokuwa mrefu alafu mwanaume mfupi, hapo kweli unaweza kujiuliza mara mbili mbili, au mleta mada umemaanisha mwanamke ni mrefu alafu huyo rafiki yako ni mfupi anamfikia kifuani mwanamke?
 
Watu ambao wanafanyaga mambo kwa kuangalia walimwengu watasema nn? hawajiamn na hawawez kuwa na aman nafsin mwao,unataka kuwafurahsha walmwengu, utaweza?,unaoa ww au wanaoa walimwengu,KUJIAMN NI MWANZO WA MAFANIKIO MAISHANI.

kwel mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom