Alikuwepo midamida...Ndo namuita hivo...nimeshindwa kujizua kucheka!!Huyo uliomtaja nimem-miss kweli, yu wapi farkhina.....?
Kamzidi micheal jackson huyo wa mwisho!
Halafu huyo wa sandles na soksi ameuaaaa!!Hata sijui alichezaje mpira?
Kwenye picha ya nne amevaa soksi kwenye mikono?anawakilisha gloves uwiii...
Cc farkhina
Huyo uliomtaja nimem-miss kweli, yu wapi farkhina.....?
Nomba umwambie namtafuta, sijaona maandishi yake kwa muda mrefu humu JF......
Na mie sikaribishwi hiyo kawaha hapa ndo asili yake bhana acha uchoyo....nipo sana tu ila nlikua busy mana nimehamisha makaziSorry nilikuwa najitengenezea kahawa....
Ulikuwa wapi binamu, maana kimya chako mh....!