Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,934 Reaction score 5,526 Sep 16, 2026 #1 Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?