Mbongo Asili
Member
- Feb 7, 2008
- 37
- 2
- Thread starter
- #41
Like I said before, research before marriage is important, ndiyo maana kimila kuna kabila nyingine zilikuwa zinasisitiza sana kumfuatilia binti na tabia zake (mfumodume wanasema wenzetu) lakini inasaidia kumjua mtu kiundani.
Inaonekana hamna heshima ndani ya nyumba, je inawezekana mzee ni mpole sana mpaka mamaa anakuona huna dili? Huwezi ku stand up for your own? In this world there are every kind of personalities, wengine wako confrontational na wanataka mtu wa kuwa "put them in their place" or whatever nonsense passes for male aggressiveness, sasa kama mama anatafuta hiyo na mzee uko umechill inakuwa kama akiwa kwenye heat humpi vitu fulani.
Sikushauri ufanye nini, lakini mimi mtu wa attitude hii asingeweza kufika hata date ya pili.
Hawa kukosea walipo sema subira huvuta heri na pia kumbuka juhudi haiondoi Kudura..vile vile Ngoma yangu, i believe ni kali na imepungua ili ku cope na yake heheeheehe ..wacha nika chume kidogo ndugu.