kaisar19
JF-Expert Member
- May 24, 2021
- 228
- 391
- Thread starter
- #21
Shukran sana mkuu umenijengaDuh!
Pole sana mwamba , ndio maisha tusichoke kupambana ningekusaidia ila mwenyewe Jobless bado na Kuna michongo nasikilizia sasa hivi kula Kulala nyumbani huku nikisoma ramani.
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi , aamiyn.
#Usikate Tamaa na usivunjike moyo , kukata tamaa ni sawa na Kukubali kuwa wewe ni mfu na kuvunjika moyo ni kujitengenezea mazingira ya kufeli.