Naomba msaada wenu!

Naomba msaada wenu!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
753
Reaction score
659
Najua jukwaa hli wapo wengi wanaoingia humu,mimi nipo kalangalala,Geita! Natafuta cmu ya kununua aina ya Nokia(X2)! Kama kuna mtu anauza,au umesikia fulani anauza,tafadhali naomba tuwasiliane kwa nambari 0759 947 397.Nitashukuru kama nitasaidiwa hli!
 
Sir H nahisi utakuwa umeibiwa simu yako so unatafuta pengine unaweza bahatisha. so jaribu kule jukwaa sayansi unaweza pata ufumbuzi,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom